Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Marekani mambo mengi yanafanyika mtandaoni ni rahisi mtu kukufuatilia na kujua ulipoKatika medani za kivita.
Kumjua Adui yako walau Sura na majina. Ni nusu ya ushindi.
Kujua location ya anapoishi ni robot tatu ya ushindi.
Tena ukizingatia anatafutwa na watu wenye nguvu ya dola na fedha.
Awe Makini Sana.
Usalama wake ni kukaa unknown place.
Ukiweza kuficha ID na Location yakk Adui zako kukupata ni kama muujiza
Mtu hatumii mtandao ni rahisi kujificha lakini kama unatumia mitandao tena hutumii jina bandia bali halisi ni rahisi mtu kukufuatilia na kukupata