Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
kamfuata wapi ? mwanaume kuamia haya mambo unatakiwa ujitafakari sana .Hadi Abdul alimfuata US how comes unasema hawana tme nae?
kamfuata wapi ? mwanaume kuamia haya mambo unatakiwa ujitafakari sana .Hadi Abdul alimfuata US how comes unasema hawana tme nae?
Sema, US sio Iran ama Gazza😆😆😆US sio bongo...
FBI wa deal na hao washenzi..
Wewe unafurahia binadamu wenzako wakidhurika? Kwako unaona ni sahihi serikali kupoteza resources zake kwaajili ya kumuinda mtu mmoja?Kwanini MangeKimambi hakumtafutia Polepole asylum pale California kama yeye anavyoishi huko?
Wewe unafanya nini hapa?kamfuata wapi ? mwanaume kuamia haya mambo unatakiwa ujitafakari sana .
US sio Israel.Sema, US sio Iran ama Gazza😆😆😆
Kwa nini mna ' underestimate ' JF namna hii? Why?jf nini kitatokea? Kuna msaada wowote atapata?
Hao hitmen kwa US kuja kwako na wakatekeleza mauaji inabidi wawe wamejipanga maana probability ya kuchomoka ni ndogo mno, wana satellite, US cctv zipo kila kona, kuna mifumo ya kusoma namba za gari..
Hebu elezea kama wewe ndiye hitman huoni kama ni hatari kufanya hio kazi ndani ya US tofauti na nchi zingine?
Hao FBI wamejaa hadi huko darkweb...
Unadanganywa na wanasiasaWewe unafanya nini hapa?
Upo sahihi. Watanzania waliouawa jimbo la Michigan Marekani miaka ya elfu mbili mpaka leo waliowaua hawajapatikana. Wakati huohuo wengi wanaofanya uhalifu Marekani wanakamatwa na kuchukuliwa hatua kali. Ni hivi kikubwa kinachowafanya wanaotaka kumdhuru Mange, kama kweli wapo, washindwe kumdhuru ni matokeo ya kitakachofuata baada ya hapo. Hivo tu. Vinginevyo sasahivi tungekua tunaongea mengine kabisaa.Mkuu Kumdhuru mtu asiyelindwa na Dola, asiye na pesa ya kuweka walinzi. Ni Jambo rahisi Sana.
Huko Marekani yapo matukio ya mauaji mengi tuu yamefanyika na waliofanya hawajulikani na hawajakamatwa.
Kwa sababu MTU akijua unapoishi. Kukufuatilia ni rahisi Sana.
Mimi ama wewe..Unadanganywa na wanasiasa
Kwa hiyo mpaka USA kuna wasiojulikana ?Mimi ama wewe..
Mange yuko wazi kwenye maisha yake binafsiEleza kwa namna ipi?
Mange hatafutwi na serikali ya Marekani.
Eleza Kwa namna ipi wanaontafuta Mange wakitokea Tanzania wanaweza kumpata kupitia mtandao(teknolojia) wakati hapahapa Bongo inashindikana
Mange yuko wazi kwenye maisha yake binafsi
Hakuna asiyejua anaishi los angeles in short mange maisha yake binafsi kwa asilimia kubwa ameweka wazi mtu kama huyo kumfuatilia ni rahisi
Ni kweli , huyo hitman ajipange pia maana msako utakaofuata si mchezo..Hapana Mkuu.
Ulinzi wa binadamu sio wakuuamini kwa asilimia hata 50.
Tena katika mazingira ambayo unayepambana naye anawezq kutoa kiasi kikubwa cha pesa ili unaswe.
Unafikiri haohao Marekani ni malaika?
Cross border hijackers/KillersAbout 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki
Kichaa wa kisukuma wewe unajulikana dunia yote.😂😂😂😂Afu mwetu nimegundua wewe kijana wa kizaramo kabisa
Imagine 🤣.Very fishy. Wanamtafuta Louis kwa kugonga milango ya watu randomly. We did that in the 20th century. Kwanini wasimpigie simu mwenyeji wao?
There you are!Cross border hijackers/Killers
Wanamuua Mange mmoja wanajitokeza kina Mange 100.Hizi ndio akili za UVCCM sasa ambao wanaonekana ni thinktanks wa chama chakavu.
Hivi mkimuua Mange ndio mtakua mmemaliza ufisadi tunauona kwenye ripoti za CAG?
Mkimuua Mange ndio mtakua mmetatua matatizo ya maji , maana kuna post humu za maeneo ya jiji kama Dar es Salaam kitovu cha uchumi cha nchi maji hayapo majuma hadi 3 na hakuna anayechukua hatua.
Mkimuua Mange ndio mtakua mmetatua matatizo ya grid ya taifa ya umeme, fikiria umeme unakatika nchi iko gizani masaa 5 halafu mseme bado mabeberu wanawaonea wivu hivi lingefanyika shambulizi pale hali ingekuwaje?
Mlimpoteza Polepole je wakosoaji waliisha , leo hii tuna wakosoaji wapya wengi tu kwa nini jibu ni kwamba mmempoteza mtu na sio tatizo, mnamuua mleta ujumbe ila ujumbe hamuufanyii kazi.
Kama mlikubalika kwa 98% na mamilioni ya kura inakuwaje mna hofu na mtu mmoja katika zile 2% ? ,hamuoni tatizo sio yeye bali ni nyie na ushawisshi feki wa 98% za kusema mnakubalika.
Fanyieni kazi anayoongea ili akose cha kuongea kumuua Mange mtakua hamjatatua chochote.
Ujumbe uwafikie na Lumumba buku 7 wengine.