Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

Very fishy. Wanamtafuta Louis kwa kugonga milango ya watu randomly. We did that in the 20th century. Kwanini wasimpigie simu mwenyeji wao?
Kwanza kwanini wasimpigie simu mwenyeji wao huyo Louis? Halafu America sio Kama huku uswekeni unamtafutaje mtu kwa miguu..! Yani maigizo ya veggies ya kishamba sana..
 
Wanamuua Mange mmoja wanajitokeza kina Mange 100.

Waache ujinga wa kuua watu wadili na matatizo ya wananchi..!!
Veggies wanakera sana..!
Akili za UVCCM huwa zipo tumboni hawafikiri kwa mapana.

Maana tangu tumeanza kusikia watu wanatekwa ukosoaji haujaisha bali wanaibuka watu wengine wapya .

Hata la October 29 walichukulia kama propaganda kwamba hakuna mtanzania ataandamana watu walivyoandamana wakaishia kuwaua na kusema walikua kutoka nchi jirani, kitu cha ajabu hakuna maiti iliyopelekwa huko nchi jirani.
 
Akili za UVCCM huwa zipo tumboni hawafikiri kwa mapana.

Maana tangu tumeanza kusikia watu wanatekwa ukosoaji haujaisha bali wanaibuka watu wengine wapya .

Hata la October 29 walichukulia kama propaganda kwamba hakuna mtanzania ataandamana watu walivyoandamana wakaishia kuwaua na kusema walikua kutoka nchi jirani, kitu cha ajabu hakuna maiti iliyopelekwa huko nchi jirani.
Hawa wajinga hawajui kujifunza wala kusoma alama za barabarani.The wrath of God is within their homestead!
 
Akili za UVCCM huwa zipo tumboni hawafikiri kwa mapana.

Maana tangu tumeanza kusikia watu wanatekwa ukosoaji haujaisha bali wanaibuka watu wengine wapya .

Hata la October 29 walichukulia kama propaganda kwamba hakuna mtanzania ataandamana watu walivyoandamana wakaishia kuwaua na kusema walikua kutoka nchi jirani, kitu cha ajabu hakuna maiti iliyopelekwa huko nchi jirani.
Sasa hivi wanakata umeme usiku halafu wanajaza polisi mtaani..!! Ni upotevu wa kodi zetu tu.!

Hizo pesa zingeenda kutatulia matatizo ya wananchi. Lakini yalivyo majinga yanatisha wananchi na kufanya raia waache kufanya shughuli zao za kila siku..!!
 
Sasa hivi wanakata umeme usiku halafu wanajaza polisi mtaani..!! Ni upotevu wa kodi zetu tu.!

Hizo pesa zingeenda kutatulia matatizo ya wananchi. Lakini yalivyo majinga yanatisha wananchi na kufanya raia waache kufanya shughuli zao za kila siku..!!
Mwisho wao haupo mbali , hapo Uganda tunaona madhara ya kupeana vyeo vitu anavyofanya mtoto wa Museveni haviendani na hadhi ya cheo cha ukuu wa majeshi ambacho alipewa bila kustahili.

Sasa Tanzagiza napo mambo ya kupeana vyeo ndio yanafanya watu kutoa maamuzi ya kijinga tu kuwafurahisha waliowapa vyeo.
 
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.

Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.

So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.

The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.

The woman did all the talking. The man didn’t say a word.

As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.

Everything is being forwarded to the FBI.

If anything happens to me, this is where the investigation should begin.

I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.

KISWAHILI

Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.

Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.

Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.

Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.

Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.

Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.

Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.

Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.

Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki

Idd Amin mama akimfanyia Mange ubaya wowote, atadakwa kama kuku....atadakwa zaidi ya Madulo alivyodakwa. Aishie hapo hapo.
 
Mange should know the rules regarding answering door bell.

Do not answer the bell to strangers.

This is in exception to the signed post or delivery people.

In addition, it is a good idea to install door bell with cctv included so that you can see who is at the front door.

These wicked people have different ways of doing their wierd things so just be on alert at all times.
Splendid adivice! I hope Mange will buy the advice to save her life from being ruined by these fucken Mexican cartels.
 
Chawa huwa mna shida gani sijui..
Heshimu instinct za mtu, binadamu ni kiumbe anayeweza kuhisi hatari kwa namna ya kipekee, unaweza kila siku ukawa unapita njia flani lakini kuna siku tu moyo unakuwa mzito na kumbe ni kweli hio njia kunakuwa na hatari.

Mange si mjinga, ameheshimu hisia zake, amehisi hatari ndio maana hadi amerekodi hao watu na ku share mtandaoni.

Hata Lissu ndivyo ilikuwa hivyo alitoa taarifakuna watu wanamfuatilia, chawa mkawa mnakejeli us3ng3 kama huu, matokeo yake jamaa akapigwa risasi... Lissu alihisi hatari inamnyemelea.

Hivyo pungueni ujinga.
Mjinga ni wewe unayepelekwa kis3ng3 na mtu kama mange.
 
Wamuue tu kwa kweli kavivu ka kufanya biashara kanataka watu wauwane kalipwe hela ajue serikali yoyote Duniani haichezewi
Embu nieleweshe, yaani analipwa kwa watu kuuwawa? Nani anamlipa? Na ili iweje mtu alipe kisa watu kufa? Anakua anapata faida gani huyo mlipaji?

Anyway najua utasema mabeberu yanataka rasilimali, sasa cha kujiuliza kwani mbona wameshapewa rasilimali kibao kama gesi, uranium, bandari n.K kwanini sasa wasubiri mauaji tena wakati tayari rasilimali wanazipata hata sasa.
 
Hakuna mtu atapoteza hela yake kununua risasi ya kumuua MangeKimambi. Kwa jinsi saratani inavyomtafuna amebakia vimifupa tu vinatembea, anatafuta sympathy tu
Wewe ni dactari wa Mange Kimambi?
 
Back
Top Bottom