Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

Texas guns are like cookies
 
Usikariri mambo hata ya zama za giza.Kuna wengine walinyakuliwa kwa kuendekeza upuuziupuuzi.
Faraja za kihemko 😂😂

Mnaemtegemea mda wake wa Uongozi umeisha na hana Haki ya kufanya hivyo kuzingatia anavyofanya mauaji kwenye Nchi nyingine.

Ndio maana Naunga mkono mfinywe nyie ni vibaraka wa beberu na wasaliti wa Nchi
 
Faraja za kihemko 😂😂

Mnaemtegemea mda wake wa Uongozi umeisha na hana Haki ya kufanya hivyo kuzingatia anavyofanya mauaji kwenye Nchi nyingine.

Ndio maana Naunga mkono mfinywe nyie ni vibaraka wa beberu na wasaliti wa Nchi
Wewe kufanya ushabiki wa kijinga na kufurahia uuaji na wauaji ni jambo ambalo unalo na umerithi kutoka kwa wazazi wako/DNA.Hivi,ukiulizwa,huyo Mange kosa lake ni lipi anapotetea haki,usawa,demokrasia na ustawi wa jamii?Hebu jibu bila kutumia nguvu ya makamasi yako.Jitahidi utumie hata mate tu tuone.
 
Kama hili jambo lipo basi itakuwa ni serikali kujishirikisha na criminal underworld ya Mexico/USA cartels jambo ambalo ni la hatari kwa usalama wa raia na familia zao.

Yaani serikali yatumia mabilioni ya tshs kuzibadili ziwe dola kisha kuwalipa wahusika wafanye hizo ops haramu.
 
Wamuue tu kwa kweli kavivu ka kufanya biashara kanataka watu wauwane kalipwe hela ajue serikali yoyote Duniani haichezewj
Unataka na yeye afanye biashara/kazi ya uchawa kama wewe! Unafikiri inawezekana wananchi wote kuwa misukule/machawa kama mlivyo nyinyii!! Hili jambo haliwezekani.

Kama nyinyi mmechagua upande wa kuisifia serikali, muwaache na wengine wachague upande wa kuikosoa. Kwa sababu hakuna serikali isiyo na mapungufu.
 
Watu mligoma uchaguzi Kwa nini mkaingiza watu wajinga kuvuruga na kutisha Kwa wanaotaka kupiga kura na kuiga mambo ya Kenya huku nyie mkilipwa?

Haiwezekani tulazimishwe mnachotaka nyie ,mlishaambiwa ingieni kwenye maridhiano hamtaki ,Rais alishasema Nchi haipangiwi Wala kuamrishwa kama Mke nyumbani.

Ndio maana Iran wananifurahisha 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DaH1YdfMjrn/?igsh=YTgyMmRnb2luYzh2
Mtaendelea kubwata kama bwana wenu Trump huku akipokea moto 🔥🔥👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DaHvbuiCetv/?igsh=MTBkZ2szZ2l3cXJ3bw==
 
Samuya must go.
 
PROPAGATED NEWS FOR ALL FOOL AND STUPID MEN,SO THEY MAY GO ON TREND FOR,"ILLUSION"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…