Mange amshambulia Lulu

Mange amshambulia Lulu

yeye ndo kwanza anaenda kusuka hairstyle mpya marasta marefu mpaka kwenye kinena,

Hiyo sentensi imenichekesha kwa sauti kubwa, hahahahaahahahaahahaha
 
Yatanuka siku ukiyatibua na kuyamwagia maji!! Umeshaambiwa,kosa kubwa ni kumwonyesha dharau mama wa marehemu!

Mlitaka afanyaje..ukumbuke alikuwa hawara tu Kama wengine hakuwa mke.Mpumzsheni.sio huyu mtoto aliekuwa anamfanyia yule mama mpk bday ??? Alimchezesha movie MAPENZI YA MUNGU akamlipa hayo hamyaoni na bado alikuwa anamuangalia kila Leo yule mama mwenyew alikuwa anasema. mind you yule mama mwanae alimuacha vizuri tu kapeleka wapi vitu vyote ??? Huyo Lulu mpk kuamua kuachana nae unajuaje Sababu zake Au kwakuwa hajakaa akamuongelea..msiongee kwa chuki tu ilimradi!...
 
Basi bro! Usijepata kifafa bure!
 
Wafuasi wa Mange wanaburuzwa kweli kweli.... ata kupima hawapimi hoja, ikitolewa wao wanabeba tu 😀 😀 😀
 
Hii kesi ya kanumba imewakamata pabaya ndo maana wamepunguza,walikua wanapigana pia. Hawa mastaa ukiwaona na mama zao kwenye mitandao utasema wamama wana bahati ila maisha halisi wamama hawana sauti kwa watoto wao.
Wewe....huwa wanatukanana hadharani?
 
Hii kesi ya kanumba imewakamata pabaya ndo maana wamepunguza,walikua wanapigana pia. Hawa mastaa ukiwaona na mama zao kwenye mitandao utasema wamama wana bahati ila maisha halisi wamama hawana sauti kwa watoto wao.
Asee inawezekena kweli .....maana yule mmama na bia zake hataree tupu mtoto nae ana mdomo balaa!
 
Ndo jamii zetu hizi,ukivaa vizuri hata kama hauna furaha,pesa nyingi au kulala pazuri mavazi yatakubeba kuonyesha unaringa,una pesa nyingi,furaha ya kutosha lazima wenye wivu wachukie sana na kuombea mabaya
Mtu wa hvyo akizeeka anakua mwanga
 
Back
Top Bottom