Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatanuka siku ukiyatibua na kuyamwagia maji!! Umeshaambiwa,kosa kubwa ni kumwonyesha dharau mama wa marehemu!
Basi bro! Usijepata kifafa bure!Mlitaka afanyaje..ukumbuke alikuwa hawara tu Kama wengine hakuwa mke.Mpumzsheni.sio huyu mtoto aliekuwa anamfanyia yule mama mpk bday ??? Alimchezesha movie MAPENZI YA MUNGU akamlipa hayo hamyaoni na bado alikuwa anamuangalia kila Leo yule mama mwenyew alikuwa anasema. mind you yule mama mwanae alimuacha vizuri tu kapeleka wapi vitu vyote ??? Huyo Lulu mpk kuamua kuachana nae unajuaje Sababu zake Au kwakuwa hajakaa akamuongelea..msiongee kwa chuki tu ilimradi!...
Wewe ndiye mama lulu? Yes/noUna mama wewe???? I bet huna ..usingeongea huo utoko hapo .auze Mbunye asiuze Ndo mamake Mama Ni mama
Wewe....huwa wanatukanana hadharani?Mwenyewe anadhan sifa kumbe anajiharibia, Lulu anamchukulia mama ake kama shost vile na huwa wanatukanana vibaya mno hadharani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi bro! Usijepata kifafa bure!
Wewe....huwa wanatukanana hadharani?
Asee inawezekena kweli .....maana yule mmama na bia zake hataree tupu mtoto nae ana mdomo balaa!Hii kesi ya kanumba imewakamata pabaya ndo maana wamepunguza,walikua wanapigana pia. Hawa mastaa ukiwaona na mama zao kwenye mitandao utasema wamama wana bahati ila maisha halisi wamama hawana sauti kwa watoto wao.
Mtu wa hvyo akizeeka anakua mwangaNdo jamii zetu hizi,ukivaa vizuri hata kama hauna furaha,pesa nyingi au kulala pazuri mavazi yatakubeba kuonyesha unaringa,una pesa nyingi,furaha ya kutosha lazima wenye wivu wachukie sana na kuombea mabaya
Balaaa!!Asee inawezekena kweli .....maana yule mmama na bia zake hataree tupu mtoto nae ana mdomo balaa!
Rais wa insta Zari,mange monitar tu wa chekechea
HEHEHEH KituuuuuuKumbe kuachana ni matokeo kwanini hataki kukubaliana na hali mpk amegeuka mwehu kiasi hicho.....