Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Aaah Ngosha mtoto mzuri vile akanyee ndoo?Lulu afungwe tu over
U know me?My advice punguza kunifata fata
Chocochanel nawewe unakuwaga hutabiriki mda mwingine, we si IG naonaga unamdiss Mange iweje leo huku JF unampa sapoti?Kwa hili naona yupo sawa
Tangu nilijua kuna Lulu kwa kumsoma humu baada ya kumuua Kanumba
Nakumbuka yaliyotokea yaliishangaza mimi pia na ni humu na kwenye websites zingine niliyasoma.
Ila kwa yeye kubebwa na Mama Kanumba then kumbe hana hata adabu na amekuja juzi kuonyesha dharau kwa huyo Mama nimemuona mjinga na boya kabisa hasiye na adabu. Adabu zake sifuri na ujeuli wa kutanua na mapicha akiwa na kesi mahakamani hilo nibonge la karma.
Lolote kwake na liwe.. atajiju
Ni mie niliyesoma yoteeee na kujua uongo amekuwa anatunga na kudanganya bila kutumia akili tangu siku ya kwanza alipomuua Kanumba.
Ndio huruma yenyewe hiyo.Hahaha nawaonaa kuweni na huruma bana. Mange hajashauri ila kaweka chuki mbele
Anapenda kunyenyekewa na kila mtu,pia ana wivu kwa kila aliyemzidi kwa uzuri na fedha
Afadhali umekumbuka.... alimsema sana Ray ndio kamuua Kanumba leo tena anamvaa Lulu.Huyu huyu mange kanumba alipokufa alimvaa ray kigosi kuwa nahusika na eti kaambiwa na polisi mmoja.
Ray akataka kujitetea akaishia kutukanwa na Mange akijifanya ana taarifa za kiintelijensia.
Culture gal sorry lakini naweza kusema saizi usiku isingepost na akili za usiku. Umeongea pumba ya mwakaKwa hiyo Mange akiwa upande wa mtu fulani basi watu wote wawe huko huko....
Pathetic.
Kanumba angekufa kwa Malaria je Familia yake ingetaka Mbu wawahudumie kwa kua ndio walisababisha kifo chake??
I wonder why mkono wa serikali haumfikii huyo kigagula huko alipo.
So Pathetic.
Hahahahaha nimekereekwa sana.... kumbe nimeongea pumba eeh sasa fanya kuwarushia wale kuku wa jirani yako wapate kunenepa. lolCulture gal sorry lakini naweza kusema saizi usiku isingepost na akili za usiku. Umeongea pumba ya mwaka
Na watu wake akilalia kulia analala nao akilalia kushoto anahama nao hakuna anayehoji hata ukiwakumbusha wanazuga hawakumbuki.Afadhali umekumbuka.... alimsema sana Ray ndio kamuua Kanumba leo tena anamvaa Lulu.
Okay nafanya hivyo! Vipi gal umeolewa lakini?Hahahahaha nimekereekwa sana.... kumbe nimeongea pumba eeh sasa fanya kuwarushia wale kuku wa jirani yako wapate kunenepa. lol
Hapana.... Nimeoa.Okay nafanya hivyo! Vipi gal umeolewa lakini?
She should leave that lil gal alone..... pia aache uongo na unafiki sijui yupoje yule kigagula walai.Na watu wake akilalia kulia analala nao akilalia kushoto anahana nao hakuna anayehoji hata ukiwakumbusha wanazuga hawakumbuki.
Labda uzuri ila fedha nakataa na hata kwa elimu niongezee lulu amfikii hata chembe mange koz ana exposure nyingi ukiachana na master's yake