Mange amshambulia Lulu

Mange amshambulia Lulu

Sema ujue nini, Mange huwaga ana point ila nadhani namna anavyozitoa ndio kidogo kwa watu wastaarabu inatia ukakasi.

Mfano anavyotoaga matusi ya nguoni na kadhalika hivyo kweli vinaboaga.

Ila all in all huyu dada huwaga terminal point yake inaeleweka.
 
Kwa hili naona yupo sawa
Tangu nilijua kuna Lulu kwa kumsoma humu baada ya kumuua Kanumba

Nakumbuka yaliyotokea yaliishangaza mimi pia na ni humu na kwenye websites zingine niliyasoma.

Ila kwa yeye kubebwa na Mama Kanumba then kumbe hana hata adabu na amekuja juzi kuonyesha dharau kwa huyo Mama nimemuona mjinga na boya kabisa hasiye na adabu. Adabu zake sifuri na ujeuli wa kutanua na mapicha akiwa na kesi mahakamani hilo nibonge la karma.

Lolote kwake na liwe.. atajiju

Ni mie niliyesoma yoteeee na kujua uongo amekuwa anatunga na kudanganya bila kutumia akili tangu siku ya kwanza alipomuua Kanumba.
 
Chocochanel nawewe unakuwaga hutabiriki mda mwingine, we si IG naonaga unamdiss Mange iweje leo huku JF unampa sapoti?

Au chocochanel unagombea kidume na lulu?
 
Ajamshambulia kasema kweli wat we need in justice system
 
Kwa hiyo Mange akiwa upande wa mtu fulani basi watu wote wawe huko huko....
Pathetic.

Kanumba angekufa kwa Malaria je Familia yake ingetaka Mbu wawahudumie kwa kua ndio walisababisha kifo chake??

I wonder why mkono wa serikali haumfikii huyo kigagula huko alipo.

So Pathetic.
 
Labda uzuri ila fedha nakataa na hata kwa elimu niongezee lulu amfikii hata chembe mange koz ana exposure nyingi ukiachana na master's yake
Anapenda kunyenyekewa na kila mtu,pia ana wivu kwa kila aliyemzidi kwa uzuri na fedha
 
Huyu huyu mange kanumba alipokufa alimvaa ray kigosi kuwa nahusika na eti kaambiwa na polisi mmoja.
Ray akataka kujitetea akaishia kutukanwa na Mange akijifanya ana taarifa za kiintelijensia.
Afadhali umekumbuka.... alimsema sana Ray ndio kamuua Kanumba leo tena anamvaa Lulu.
 
Kwa hiyo Mange akiwa upande wa mtu fulani basi watu wote wawe huko huko....
Pathetic.

Kanumba angekufa kwa Malaria je Familia yake ingetaka Mbu wawahudumie kwa kua ndio walisababisha kifo chake??

I wonder why mkono wa serikali haumfikii huyo kigagula huko alipo.

So Pathetic.
Culture gal sorry lakini naweza kusema saizi usiku isingepost na akili za usiku. Umeongea pumba ya mwaka
 
Culture gal sorry lakini naweza kusema saizi usiku isingepost na akili za usiku. Umeongea pumba ya mwaka
Hahahahaha nimekereekwa sana.... kumbe nimeongea pumba eeh sasa fanya kuwarushia wale kuku wa jirani yako wapate kunenepa. lol
 
Na watu wake akilalia kulia analala nao akilalia kushoto anahana nao hakuna anayehoji hata ukiwakumbusha wanazuga hawakumbuki.
She should leave that lil gal alone..... pia aache uongo na unafiki sijui yupoje yule kigagula walai.
 
Labda uzuri ila fedha nakataa na hata kwa elimu niongezee lulu amfikii hata chembe mange koz ana exposure nyingi ukiachana na master's yake

Kweli tena ukizingatia Mange kaolewa na mzungu na ana watoto wa kizungu, hata Magufuli amuingii.
 
Back
Top Bottom