kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Ooh...asante kwakunijuza kumbe lulu ni mjane wa wanaume wengAlikua bwana ake lulu akafa ghafla
Ndo Mungu wao huyo hawawezi kukuelewaHii rejea ni kwa misukule [aka ream Mange kasema] wote wa huyo Mange.
Baada tu ya Kanumba kufariki Mange akaanza kusema kuwa Ray Kigosi ndo mhusika mkuu.
Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn
Baadaye kukawepo na taarifa za Mange kushikiliwa na polisi kwa sababu ya kumzushia Ray hayo mambo.
Polisi yamshikilia Mange kwa kumhusisha Kigosi "Ray" na kifo cha Kanumba
Rai kwa misukule wa Mange [aka team Mange kasema].....
Msimeze tu kila atapikacho huyo dada bila kutumia akili zenu hata kama nyie siyo majiniasi.....
Iyo case itawapa watu mafundisho mengi mojawapo usidharau case hata kama ndogo vipi... uyo lulu aliidharau sana iyo hakua serious ktk kutoa ushahidi na kujitetea....ila namuombea mungu asipigwe mvua nyingi japo inavoonekana kwa hali hii mvua ni imminent....
Pili iyo case imemuExpose peter kibatala sana...kua sio Wakili Mzuri kama anavyosifiwa... kwa navoielewa fani ya sheria..na kwa sifa alizokua anapewa Pita Kibatala...na kwa jinsi hiyo case ilivokua imekaa (imebase sana kweny circumstantial evidence) na kwa jinsi ma state attoneys walivyo vilaza....
Sikutegemea kama Pita Kibatala angeshindwa kuimaliza iyo case kwenye 'Half Time' yanii at the end of the prosecution's case!
Hawa wanajiita mawakili maarufu ukiwa na kesi yako siriazi usimpe wana janja janja nyingi...niliwahi kushuhudia kesi moja ya Mabere Marando pale Kisutu... haha yani janja janja nyingi sana ila ni mtupu wa legal knowledge!
Ndo hivyo!Ndo Mungu wao huyo hawawezi kukuelewa
Ni sawa sema kuhusu kuchat chumba cha mahakama...je alikua anachat wakati kesi imeanza ama kabla kesi haijaanza yani kabla Judge hajaingia??Hii kesi bibie aliyegemea umaarufu utambeba na zile comment za insta za kumwonea huruma ndio maana hakua serious tangu mwanzo wa usikilizwaji wake,mtu upo chumba cha mahakama kuu unapiga nne na kuchat
Pia nahisi kahela kalipita haiwezekan wakili wa serikali asiwe na maswali yenye mantiki kwa mtuhumiwa hata kuhoji lesen alishindwa,kuhoji rafiki aliyepiga simu usiku huo alishindwa aisee basi angehoji lulu alienda kwa usafiri upi kwa kanumba maana haiwezekan mtu usababishe majanga ukurupuke na kuendesha gari hasa kwa umri aliokua nao lulu kipind kile
Most of her fanboys n girls are the same persons of John Magufuli'sNdo hivyo!
Mwaka 2012 alitaka kuwaaminisha watu kuwa Ray Kigosi ndo mhusika mkuu.
Sasa jiulize...kwenye hiyo trial jina la Kigosi lilijitokeza mara ngapi?
One definitely needs to have a certain level of intelligence to be able see right through her 'bullshitness' [to coin a word[emoji3]].
But I reckon most of her fanboys and fangirls are not that smart anyway....and that's why they gobble up hook, line, and sinker every bullshit that she spews.
Ni sawa sema kuhusu kuchat chumba cha mahakama...je alikua anachat wakati kesi imeanza ama kabla kesi haijaanza yani kabla Judge hajaingia??
Kama ni kabla kesi haijaanza hapo hajadharau kitu chochote....ni sawa na kusema eti asiwe anapost post kwenye instagram!
Iyo ya kusema hao mawakili wa serikali wamechukua hela inaweza kua ndio au hapana japo ukisema ndio wamechukua ni ngumu sana kuprove maana mawakili wa serikali wanajulikanaga kua ni vilaza bila hata kuchukua rushwa.... so mi na-assume kua ni ukilaza wao tu kama kawaida yao na sio rushwa unless otherwise...
Kabla mahakama haijaanza simu ruksa kutumia na kuongea na kupiga porojo ...yani kama uko kwenye vijiwe vya kahawaHata kama jugde hakuwepo,pale alitakiwa awe makini. Nadhan kesi ilipoanza kumuelemea akili aliipata simu hakuonekana nayo zaidi ya kuweka pozi la huruma na kulia
Hahahaa eti mawakili wa serikali vilazadaah wakiona post hii wabadilike bana wanaitia serikali hasara
Team damange kasemaAcha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa
Mshauri wako Akiwa mange jiandae kufeliAcha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti rais wa instaAnavyo vingi,,maubuyu classic yapo pale,ni raisi wa insta