Mange amshambulia Lulu

Mange amshambulia Lulu

Hii rejea ni kwa misukule [aka ream Mange kasema] wote wa huyo Mange.

Baada tu ya Kanumba kufariki Mange akaanza kusema kuwa Ray Kigosi ndo mhusika mkuu.

Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Baadaye kukawepo na taarifa za Mange kushikiliwa na polisi kwa sababu ya kumzushia Ray hayo mambo.

Polisi yamshikilia Mange kwa kumhusisha Kigosi "Ray" na kifo cha Kanumba

Rai kwa misukule wa Mange [aka team Mange kasema].....

Msimeze tu kila atapikacho huyo dada bila kutumia akili zenu hata kama nyie siyo majiniasi.....
Ndo Mungu wao huyo hawawezi kukuelewa
 
Hii kesi bibie alitegemea umaarufu utambeba na zile comment za insta za kumwonea huruma ndio maana hakua serious tangu mwanzo wa usikilizwaji wake,mtu upo chumba cha mahakama kuu unapiga nne na kuchat

Pia nahisi kahela kalipita haiwezekan wakili wa serikali asiwe na maswali yenye mantiki kwa mtuhumiwa hata kuhoji lesen alishindwa,kuhoji rafiki aliyepiga simu usiku huo alishindwa aisee basi angehoji lulu alienda kwa usafiri upi kwa kanumba maana haiwezekan mtu usababishe majanga ukurupuke na kuendesha gari hasa kwa umri aliokua nao lulu kipind kile
Iyo case itawapa watu mafundisho mengi mojawapo usidharau case hata kama ndogo vipi... uyo lulu aliidharau sana iyo hakua serious ktk kutoa ushahidi na kujitetea....ila namuombea mungu asipigwe mvua nyingi japo inavoonekana kwa hali hii mvua ni imminent....

Pili iyo case imemuExpose peter kibatala sana...kua sio Wakili Mzuri kama anavyosifiwa... kwa navoielewa fani ya sheria..na kwa sifa alizokua anapewa Pita Kibatala...na kwa jinsi hiyo case ilivokua imekaa (imebase sana kweny circumstantial evidence) na kwa jinsi ma state attoneys walivyo vilaza....

Sikutegemea kama Pita Kibatala angeshindwa kuimaliza iyo case kwenye 'Half Time' yanii at the end of the prosecution's case!

Hawa wanajiita mawakili maarufu ukiwa na kesi yako siriazi usimpe wana janja janja nyingi...niliwahi kushuhudia kesi moja ya Mabere Marando pale Kisutu... haha yani janja janja nyingi sana ila ni mtupu wa legal knowledge!
 
Ndo Mungu wao huyo hawawezi kukuelewa
Ndo hivyo!

Mwaka 2012 alitaka kuwaaminisha watu kuwa Ray Kigosi ndo mhusika mkuu.

Sasa jiulize...kwenye hiyo trial jina la Kigosi lilijitokeza mara ngapi?

One definitely needs to have a certain level of intelligence to be able see right through her 'bullshitness' [to coin a word[emoji3]].

But I reckon most of her fanboys and fangirls are not that smart anyway....and that's why they gobble up hook, line, and sinker every bullshit that she spews.
 
Hii kesi bibie aliyegemea umaarufu utambeba na zile comment za insta za kumwonea huruma ndio maana hakua serious tangu mwanzo wa usikilizwaji wake,mtu upo chumba cha mahakama kuu unapiga nne na kuchat

Pia nahisi kahela kalipita haiwezekan wakili wa serikali asiwe na maswali yenye mantiki kwa mtuhumiwa hata kuhoji lesen alishindwa,kuhoji rafiki aliyepiga simu usiku huo alishindwa aisee basi angehoji lulu alienda kwa usafiri upi kwa kanumba maana haiwezekan mtu usababishe majanga ukurupuke na kuendesha gari hasa kwa umri aliokua nao lulu kipind kile
Ni sawa sema kuhusu kuchat chumba cha mahakama...je alikua anachat wakati kesi imeanza ama kabla kesi haijaanza yani kabla Judge hajaingia??
Kama ni kabla kesi haijaanza hapo hajadharau kitu chochote....ni sawa na kusema eti asiwe anapost post kwenye instagram!

Iyo ya kusema hao mawakili wa serikali wamechukua hela inaweza kua ndio au hapana japo ukisema ndio wamechukua ni ngumu sana kuprove maana mawakili wa serikali wanajulikanaga kua ni vilaza bila hata kuchukua rushwa.... so mi na-assume kua ni ukilaza wao tu kama kawaida yao na sio rushwa unless otherwise...
 
Ndo hivyo!

Mwaka 2012 alitaka kuwaaminisha watu kuwa Ray Kigosi ndo mhusika mkuu.

Sasa jiulize...kwenye hiyo trial jina la Kigosi lilijitokeza mara ngapi?

One definitely needs to have a certain level of intelligence to be able see right through her 'bullshitness' [to coin a word[emoji3]].

But I reckon most of her fanboys and fangirls are not that smart anyway....and that's why they gobble up hook, line, and sinker every bullshit that she spews.
Most of her fanboys n girls are the same persons of John Magufuli's
So pata picha apo...
 
Mange ni mpumbavu.

Kisa Lulu ameua bila kukusudia asiweke picha instagram?

Akili ya kuvukia barabara tuu inatosha kufahamu kuwa maisha lazima yaendelee, sawa imetokea bahati mbaya kanumba akafariki, je, alitaka lulu awe analia na kusaga meno kila siku?, mtoto wa watu ndio kwanza ana miaka 23 unataka aishi kama mjane mwenye miaka 78!!!!!!

B##ch give her a break, yaliyomkuta lulu yanaweza mkuta mtu yeyote yule, hakukusudia hata mama yake marehemu analifahamu hilo , tuiache mahakama ifanye kazi yake, Mange ma##ko tuu, maombi yake yataishia chooni na si kwingineko
 
Hata kama jugde hakuwepo,pale alitakiwa awe makini. Nadhan kesi ilipoanza kumuelemea akili aliipata simu hakuonekana nayo zaidi ya kuweka pozi la huruma na kulia

Hahahaa eti mawakili wa serikali vilazadaah wakiona post hii wabadilike bana wanaitia serikali hasara
Ni sawa sema kuhusu kuchat chumba cha mahakama...je alikua anachat wakati kesi imeanza ama kabla kesi haijaanza yani kabla Judge hajaingia??
Kama ni kabla kesi haijaanza hapo hajadharau kitu chochote....ni sawa na kusema eti asiwe anapost post kwenye instagram!

Iyo ya kusema hao mawakili wa serikali wamechukua hela inaweza kua ndio au hapana japo ukisema ndio wamechukua ni ngumu sana kuprove maana mawakili wa serikali wanajulikanaga kua ni vilaza bila hata kuchukua rushwa.... so mi na-assume kua ni ukilaza wao tu kama kawaida yao na sio rushwa unless otherwise...
 
Ni kweli,lakini yanakuusu nn? Naongea na huyo kimambi, yani wew kazi yako ni hiyo tu wallah czan kama mmeo anajua hili na cku akijua atakuacha maana wew huna mda nayako kazi kufata yawenzio tu kwani umemzaa wew adi umshairi mxewww
 
Hata kama jugde hakuwepo,pale alitakiwa awe makini. Nadhan kesi ilipoanza kumuelemea akili aliipata simu hakuonekana nayo zaidi ya kuweka pozi la huruma na kulia

Hahahaa eti mawakili wa serikali vilazadaah wakiona post hii wabadilike bana wanaitia serikali hasara
Kabla mahakama haijaanza simu ruksa kutumia na kuongea na kupiga porojo ...yani kama uko kwenye vijiwe vya kahawa
 
Acha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa
Team damange kasema
 
Mnadanganya lulu,hata kama Hoyce ana ugomvi na mange ila alichomshauri lulu ni sawa endeleeni kumjaza ujinga mtaona nini kinaweza kutokea,huwezi ukawa na matatizo huku unaendelea na mbwembwe za kawaida wait and see
 
Acha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa
Mshauri wako Akiwa mange jiandae kufeli
 
Mbona baada ya ushauri wa mange juzi hakwenda mahakamani kwa mbwembwe tena alikuwa anafunika uso wake
 
Back
Top Bottom