Mange amshambulia Lulu

Mange amshambulia Lulu

Hili halitaisha maana watanzania tunapenda ujinga natamani sana Mange asingeniblock walai angenitambua... kidogo tu ukichallenge anakublock if shes that strong na yeye akubali critics.


In short Mange ni housegirl mwenye asiye na kazi u can imagen atakuwa anafikiria nini most of the time.

Sent from my SPH-L720 using JamiiForums mobile app
Sasa kama una kazi unapata wapi muda wa kucomment kwenye account ya Mange.

Sasa naamini hata Magu ni follower mzuri wa Mange dada wa Taifa.
 
Sasa kama una kazi unapata wapi muda wa kucomment kwenye account ya Mange.

Sasa naamini hata Magu ni follower mzuri wa Mange dada wa Taifa.
Wale wale kwani leo lini na pia kuna tea breaks, lunch break na evening hour au let me make it simple tunacomment wakati wa leisure time
 
Lkn mm alicho zungumzia juu ya Lulu naona hajakosea hatakidogo.. Yupo sahii..
Wabongo km hawakupendi ndo walivyo
Ukisoma Yale maelezo ya mange yote ni ya kweli hakuna hata moja alilomsingizia, sasa ni kweli kama asemavyo mange tupunguze mahaba na u double standard wetu watanzania na tuache uvivu wa kusoma
 
Prince john john kauliza swali, sasa hapo nashindwa kuelewa kama kauliza swali au anakejeli? Labda kama unataka kumjua lulu ungefuata utaratibu mzuri Wa kuuliza swami ili ueleweke na ujibiwe, ebu weka swali vizuri, alafu kwa kifupi kama hujui kinachojadiliwa basi ni bora ukakaa kimya na kama humjui lulu basi na huu mjadala haukuhusu pia.
 
Acha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa

Basi hujamjua Mange na wala hutamjua. Embu jaribu kumpinga kidogo basi. Au unataka kusema Tangu umjue best yako Glass hazijawahi kugongana. Basi we Sio Mtu ni Robot. Mange ni Bibi visasi yani ni mswahili Hasa
 
Ana Masters ya nini???
Exposure ya kutosha like what???
Thibitisha hapa ili tufahamu sote.

Wadada wote walio State wanajulikana wanachokifanya kasoro yeye, ina maana yeye kazi ya kutukana mitandaoni inamlipa sana hadi akalie vyeti vyake vya masters?? lol

Personal issues wapi, na unajua alikua anaenda kukodi hotel na kupiga picha na video akidai ndio kwake?? mtu aliye elimika anaweza kufanya ujinga kama huo??.

Kishaona alioenda nao wote wana maisha ya kueleweka, aliowaacha huku wana maisha ya kueleweka, akijiangalia yeye yupo vile vile na umri umesonga.

Ndio maana hasira hivyo lakini hana lolote.

Duh bila shaka utakuwa Lemutuz si kwa mapovu hayo, unaitamani nafasi ya imaarufu wa Mange lakini ndo hivyo hatataani kwenu tu hujulikani
 
Hii ya Seki sijui ilinipitia wapi jamani
Kuna jamaa alikua ana mihela wanavyosema alikua anatoka na lulu ,,sasa siku ya birthday ya lulu jamaa akaangukia meza eti akafa,,lulu alifuta akaunti yake ya nsta kwa muda ,na picha zilirushwa akiwa kwenye majonzi makubwa,,na pole akapewa lulu badala ya mke wa seki
 
Hii ya Seki sijui ilinipitia wapi jamani
[emoji86] [emoji86]
Kuna jamaa alikua ana mihela wanavyosema alikua anatoka na lulu ,,sasa siku ya birthday ya lulu jamaa akaangukia meza eti akafa,,lulu alifuta akaunti yake ya nsta kwa muda ,na picha zilirushwa akiwa kwenye majonzi makubwa,,na pole akapewa lulu badala ya mke wa seki
 
Unajuaje ye sio mbea [emoji23][emoji23]
Najua.... Wewe najua kabisa nikitaka kuvunja miiko ya uanaume na kuamua kula ubuyu nakuja kwako kashilawadu ... Vale umbea hana yeye muulize mengine
 
Najua.... Wewe najua kabisa nikitaka kuvunja miiko ya uanaume na kuamua kula ubuyu nakuja kwako kashilawadu ... Vale umbea hana yeye muulize mengine
Ungelijua basi tu[emoji23][emoji23][emoji23],,ngoja nije nikuchekeshee
 
mi nimeshindwa kufika hata nusu yahio essay ngoja nipitie comment tu hop ntaelewa wats going off
 
Hivi mange anamume wa kumtosheleza au ndo wale wanaume wa dar amekutana nao huko aliko
 
Back
Top Bottom