Mange amshambulia Lulu

Mange amshambulia Lulu

Wapo waliokua wanaombea majizo yampate ya kumpata wamsingizie vizuri lulu ila dua zao mbaya hazijafanikiwa
Kha wivu Bhana ...! Kwahyo Watu wote waliokufa katembea nae yeye ??? vp kuhusu Ali Kiba. Achen hizo Au nyie mabwana zenu wataishi milele
 
Yaan Watu wana Roho za ajabu sana . Waulize kawakosea nn Huyo Lulu.'maskini zaidi kajipostia kavaa zake kapendeza , anafanya vitu vyako vya maendeleo basi shida.kuna jamaa namjua huku kitaa alikuwa anamletaga gheto Enzi hizo na yuko hai Mpk Leo
 
Ndo jamii zetu hizi,ukivaa vizuri hata kama hauna furaha,pesa nyingi au kulala pazuri mavazi yatakubeba kuonyesha unaringa,una pesa nyingi,furaha ya kutosha lazima wenye wivu wachukie sana na kuombea mabaya

Kalikuwaga kashenz kale katoto Nilikuwa sikapendi Hata.lkn she has changed a lot.imagine mpk Sahv anasaidia jamii Juzi kati nmeona kapost video alikuwa mgeni rasmi kawe ukwamani akawachangia million 1 wajenge library.ss afanye lipi jema wabongo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sio kalikua bado kapo hivyo,kwenye maisha halisi ni tofauti na hicho anachokionyesha mtandaoni. Ila sasa watu wanavyomhukumu ndo shida ilipo maana nae ni binadamu mwenye moyo wa nyama.

Kumbe Bado??? Sikaon sana kwenye magazet ovyo ovyo ka zaman na Naona yuko na majizo .anyways Hata Kama bado Ni mshenz ni binadamu wote hatujakamilika
 
Magazeti yamebanwa na sheria ya mtandao,ndo maana sani limehamishia majeshi korea kaskazini. Za chini ya kapeti zinasema majizo na lulu wameachana kisa fumanizi na usaliti wa lulu

Walisemaga hvohvo Mara uchawi Sijui .juzi tu majizo kapost picha na lulu wamevaa sare.hawajaachana Hata .kakague account ya majizo usipomuona lulu utamuona Mdg wake lulu yule erick yuko Na majizo
 
Wanaume hawanaga bifu za kijinga ati kisa mmeachana anainunia familia nzima haipo hio,kwenye account ya dai kuna picha kibao za wema na walishaachana kitambo
Walisemaga hvohvo Mara uchawi Sijui .juzi tu majizo kapost picha na lulu wamevaa sare.hawajaachana Hata .kakague account ya majizo usipomuona lulu utamuona Mdg wake lulu yule erick yuko Na majizo
 
Sio kalikua bado kapo hivyo,kwenye maisha halisi ni tofauti na hicho anachokionyesha mtandaoni. Ila sasa watu wanavyomhukumu ndo shida ilipo maana nae ni binadamu mwenye moyo wa nyama.
Numbisa uliona YouTube mahakamani alichowafanyia waandishi wa habari hadi kibatala akamwambia" Lulu twende achana nao"

Lulu ana roho ngumu asee hadi mahakamani vituko afuu badae anamuangalia mamaake anacheka[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Mwenyewe anadhan sifa kumbe anajiharibia, Lulu anamchukulia mama ake kama shost vile na huwa wanatukanana vibaya mno hadharani
Numbisa uliona YouTube mahakamani alichowafanyia waandishi wa habari hadi kibatala akamwambia" Lulu twende achana nao"

Lulu ana roho ngumu asee hadi mahakamani vituko afuu badae anamuangalia mamaake anacheka[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Kha wivu Bhana ...! Kwahyo Watu wote waliokufa katembea nae yeye ??? vp kuhusu Ali Kiba. Achen hizo Au nyie mabwana zenu wataishi milele
Kuwa kwenye eneo la hatari hakukuhakikishii kuwa lazima ufe! There is a chance to survive! Ila kinga ni bora!
 
417578.jpg
Sijajua chochote kuhusu Lulu lakini siamini pia kama ana uwezo mkubwa wa kuweza kuua. Hiyo ni mikasa katika maisha mkuu.

Wapo wanawake wakiolewa tu waume zao hufa, bhasi huyo mwanamke huwa ni ngumu kuolewa haswa, anaba
ki kunyooshewa
vidol
e,
kama hujitaki kaoe pale.

Pia wapo wanaume wa namna hiyo, so huwa siamini sana kwenye hivi vitu, ila nimewahi kuvisikia sana.

Wa kwanza!sawa! Wa pili,just ok! Wa tatu!!! Kha! Lazma ushtuke
 
Lulu 2004.jpg
Ndo jamii zetu hizi,ukivaa vizuri hata kama hauna furaha,pesa nyingi au kulala pazuri mavazi yatakubeba kuonyesha unaringa,una pesa nyingi,furaha ya kutosha lazima wenye wivu wachukie sana na kuombea mabaya
asee kweli kanavaa vizuri!
 
Kha una wivu mbaya[emoji23][emoji23]hizo Ni picha za zamani tutafutie ya kipindi hiki kavaa hvo. Kila mtu Ana past zake mbaya Hata we unazo Lkn kikubwa watu hubadlka na yeye kabadilika basi. MAVI YA KALE HAYANUKI
Yatanuka siku ukiyatibua na kuyamwagia maji!! Umeshaambiwa,kosa kubwa ni kumwonyesha dharau mama wa marehemu!
 
Back
Top Bottom