Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

Kazi ipo. Nachoamini tu kuna watakaotaka kuwa upande wa wanachi hiyo tarehe 09/12 kujisafisha au kusafisha viongozi wao na yale ya 29/10. Ni ngumu kuwa huru kufanya yaliyofanywa tarehe 29/10 baada ya documentary ya jana na zile video za yaliyotokea,possibility ya kushitakiwa ICC na mengine kama kukosa misaada.
Hii ngoma ni ngumu sana. Haitatuliki kibabe,macho yako wazi mno.Busara tu itumike na sio nguvu.
 
Yani litokee hilo mpaka leo ndo mange asisemee🤣 na nyumbu mpaka sasa wasikanyagane kwa furaha
 
Ushabiki umezidi kiasi kwamba unahisi Kuna kikundi kiko field kwenye political science

Ushauri waweke mbali usekula waeleze mioyo kile kinachoendelea na wataeleweka
 
Don't confuse us,
 
Lucha, nyumbu wamekukosea nini?
Nyumbu hawana akili siku zote, wanaweza kumuona mwenzao analiwa na mamba ila baada ya dakika 1 wanajisahau wanafikiri mamba ni gogo linaelea kwenye maji wanajipeleka na wao wanaliwa.

Kwahiyo ndo akili za hawa wazee wa jeshi liko upande wetu na nyumbu zinafanana
 
uwe na huruma kwa wananchi wenzako
 
Itoshe kuishia hapo kwamba unamuamini
 
Lazima umuamini kwani tangu lini nyumbu mkatumia akili zenu? Nyie akili zenu si mmeweka kabatini mnatumia za mange na Maria sarungi
Natumai wewe ni mmoja wao
 

Attachments

  • Screenshot_20251122_235301_Instagram.jpg
    82.5 KB · Views: 21

Hivi mpaka Mange akwambie kwamba kuna baadhi ya askari polisi na wanajeshi walikufa ndiyo uamini? Watu walikuwa field wameona vifo vya hao askari polisi na JW na kuna baadhi ya rafiki zetu wamepoteza ndugu zao ambao ni askari...Kwenye machafuko kama yale ni lazima kuna baadhi ya raia wafe na askari pia lazima wafe.

Na D9 ,Gen Z wasipoctoka kwa kujipanga kwa mapambano wakaenda kizembe kama Mo29 aisee watakula njugu na hiyo itakuwa triple masacre.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…