Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

Yajayo yanafurahisha.
 
Km una ndugu huko utamuekewa mange

Infact askari wengi sio wanajeshi wengi japo na wajeda pia walikufa
 
Mbona hakuna familia iliyofiwa na askari mwanafamilia wao tusikie kuwa kuna askari waliopoteza maisha kwenye vurugu hizo?
Una uhakika? Unadhani wataweka matangazo km maiti tu za watu wamenyimwa?
Mi nashukuru Mungu bro captain yuko salama!
Mengine acha😷😷😷
 
Mtoa mada unapoweka post upload nanile video
 
Yani litokee hilo mpaka leo ndo mange asisemee🤣 na nyumbu mpaka sasa wasikanyagane kwa furaha
Mkuu hivi vifo vimekufurahisha sana sio.

Sasa taarifa mbaya na ya kuchekesha kuhusu kifo, pamoja kwamba chenyewe ni kifo ila kipo hai. KINAISHI.

Yule mtoto mchanga aliyetandikwa risasi ungeweza kuwa wewe lakini Mungu akakuepusha ili upate nafasi ya kutubu.

Endelea kutamba na kiburi cha uzima.
 
Yes walikuwa wanarushiana risasi na walikuwa wanaviziana walikuwa wanafanya hivi wakishaua kama ni askari wanamvua zile sare. Mi nilishuhudia mmoja aliishiwa risasi mjeda akachukuwa ile gun alafu akamsakizia kwa raia na boxer raia wakaua
 

Attachments

  • 4_Messages.jpg
    50.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20251123-003630_Messages.jpg
    64.8 KB · Views: 21
Sio wengi kama mnavyo fikiria kiasi cha kufanya watu wastuke uko juu sio wengi hao wana magroup yao kwahy kinacho
Fanyakika wan ambiza utaanza kuongelea wewe hili jambo af mm nitaliongelea baada ya siku mbili ila sio wengi kiasi cha kufika hta 40 hiyo ishu wameanza ongea watu mdogo mdogo ni kama vile walio zusha visima vya maji vya DAWASCO wameweka sumu maji mpaka ishu ikawa kubwa ila kuelewa lazima uchakate sana angalia mtaani kwako misiba mingi ulio isikia kutokana na vurugu hiyo misiba ili wagusa wakinani raia au askari?
 
N
Wale wajeda wa magomeni baada ya kurudi kambini walionekana kama wasaliti.
Unajua hukumu ya msaliti kijeshi.
Naam wa route ya Magomeni wajeda walikuwa social sana kwa raia wangekaza kidogo tu watu walikuwa wanafika ikulu kuna ishara walionyesha ila mkuu wa msafara alikuwa pandikizi ata lafudhi yake haikuwa ya kibongo ata ukubwa wa mwili wake, alitoa oda moja tu twawanyikaaa... dk mbili zilimwagwa njugu na kile kikundi cha polisi kwa raia
 
Sio
Sio wengi but walikufa ingekuwa ni wengi sana ingekuwa ni vita yao but ilikuwa normal but ujumbe umefika unategemea 9D itakuwaje
 
Km una ndugu huko utamuekewa mange

Infact askari wengi sio wanajeshi wengi japo na wajeda pia walikufa
Yes kabisa kulikuwa na jambo lilitaka kutokea ila ndo ivo wanajeshi wanahasira sana hawapo sawa kisaikolojia lawama zinawaangukia wao na wanaonekana wasaliti wamewaacha raia wakauwawa, ukweli walijitahidi kwa uwezo wao ila hawakuamua ma incharge wao walikuwa ni vibaraka
 
Kwa hali hii, basi ni kweli vyombo mpaka sasa havisomani na vimegawanyika, na hakuna juhudi zozote za kupatikana umoja wa kitaifa…bila hata ya 9D…hii nchi kutawalika ni ngumu…kutakuwa na mfululizo wa matukio….kama 9D haitawezekana basi tegemea kuna wananchi watapenyezewa silaha ili kuyumbisha huu utawala haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…