Kodo dyako
JF-Expert Member
- Nov 18, 2025
- 318
- 409
Mange wakati mwingine msenge sanaUjue mimi sipingi harakati hizi
Shida ni watu kumuamini mange kwa kila kitu
Huyo dada anajua sana kutengeneza agenda hapa anawajaza upepo male Shaba
Alisema 29 tokeni wajeda wapo kuwalinda na matokeo yake watu wamekufa kama njugu.
Tuamueni kwa akili yetu sio ya Mange
Mange ni mchochezi tu kama wachochezi wengineHabari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Hapana sio kweli.Mange ni mchochezi tu kama wachochezi wengine
NdioAlikula shaba?
We c ndo unawananga watu hapa?kulikoni umerudisha mpira kwa goli kipa?uwe na huruma kwa wananchi wenzako
Hiyo itakua visasi binafsi..kwanini amlenge mwenzie??Kituo cha polic mwatex afisa upelelez alipigwa shaba na mwenzake...jina kama sikosei anaitwa Songo
magomeni sehem gani nilikuwa nakatiza kwa miguu kutoka faya hadi kawe kwa miguuWale wajeda wa magomeni baada ya kurudi kambini walionekana kama wasaliti.
Unajua hukumu ya msaliti kijeshi.
Je hakuna ndugu wa askari waliokufa wakasema?Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Duh!Kuna sehemu ndio ni kweli wanajeshi waliwalenga askari baada ya askari kuwalenga raia, binafsi nilishuhudia askari polisi akilambwa makofi na MP.
Uyo msemaji wenu wa serikali batiri kashasema eti police walikufa pia.Je hakuna ndugu wa askari waliokufa wakasema?
Ukiangalia video walizorusha Aljazeera na Citizen Tv ya Kenya kuanzia tar 30 Oktoba 2025, kuna askari kadhaa wenye sare za FFU wanaokana wamelala kifudifudi wakipigwa na raia. Hope ilikuwa ni Tunduma mkoani Songwe.Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Kwa maana ya kukiwa shwariAnaefuatia nani?? Uliniambi ikipita october utasema..ila naona maruweruwe
Mpange aweza kuaminika kuliko SamiaLazima umuamini kwani tangu lini nyumbu mkatumia akili zenu? Nyie akili zenu si mmeweka kabatini mnatumia za mange na Maria sarungi
Je huku tuko salama?? Au ndio ikibidi sana tunabebwa?? Kiukweli hali ni mbayaKwa maana ya kukiwa shwari
Nadhani unaona utekaji unavyoendelea kwa kasi.....
Duh kweli,[emoji1317]View attachment 3506404