Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

Ukiangalia video walizorusha Aljazeera na Citizen Tv ya Kenya kuanzia tar 30 Oktoba 2025, kuna askari kadhaa wenye sare za FFU wanaokana wamelala kifudifudi wakipigwa na raia. Hope ilikuwa ni Tunduma mkoani Songwe.
Ni kweli alJazeera kwenye ile habari yao alionekana polisi mmoja amepigwa na wananchi hakika yule alikufa
 
Siku ukitekw
Siku ukitekwa wewe au mtoto wako uka enda muokota Hana macho na katobolewa mwili urudi tena hapa, Nyerere ange angalia Hilo we Leo hii usinge kia unajivunia utanzania huenda idd Amin ange ichukua na Mwanza nzima man be a man, watu kufa tuta kufa TU ukusikia wale walio enda kuhiji maka juzi wakapata ajali ya gari na kufa wote?
 
aya ulikuwa una bisha habari ya Mange ,msemaji kasemaje
 
Mbona hatujaona picha na vedeo za askari waliokufa? tumeona za wanachi tu, yani huyu chizi namisukule yake wanajua kudanganyana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…