Mange anahatarisha ndoa za watu

Umeandika kitu ambacho tunahitaji kufikiri sana. Shida unapokuwa mfuasi wa mtu flani akili inakuwa ngumu kufikiri hata pale unapoambiwa kitu ambacho kina logic.
 
Wajinga ndio waliwao inasikitisha sana kuona watu wanaamini hizo story zake yani inasikitisha mm nikikutana na mtu anaeamini mambo ya yule dada aliyechanganyikiwa na maisha namdharau sana
 
Huyo Shehe amechukua mke wa kaka yangu, ni kweli kabisa, na Mange kasema hivyo hutaki niseme kama ni mkweli?

Mambo ya meli peleka huko..., we sema Shehe anazingua au la
 
Umeandika kitu ambacho tunahitaji kufikiri sana. Shida unapokuwa mfuasi wa mtu flani akili inakuwa ngumu kufikiri hata pale unapoambiwa kitu ambacho kina logic.
Naona wafuasi wengi wanaendeshwa na hisia wanashindwa kufikiri kwa umakini
 
Naona wafuasi wengi wanaendeshwa na hisia wanashindwa kufikiri kwa umakini
Kweli kabisa. Sio kila jambo la kupokea kama lilivyo, ndo maana tumepewa akili ya kufikiri. Hivi yeye au wewe au mimi tunaziaminije hizo sources zinazompa habari. Kuna mambo huwa ana post hazitii shaka hata kidogo ila hizi za hide my ID bila evidence za ku suport ngumu kuamini.
 
one of non logical, juzi alianza na tuhuma za shekhe badae tena akageuza lkn nyumbu wake wanakubali tu hata hawana muda wa kuhoji,, ujinga ni pale unamwamini mtu kwa kila kitu,
 
Kwani huyo mke hana maamuzi?
Au sheikh anatumia kisomo?

wewe ulanyanganywa mke halafu unakuja kulalamika kwanza huyu ni mpumbAVU SANA.
mala oooo mfi.....ji mara sh....a watu wanafata tu
hiii nchi haiwezi kusonga mbele watu wengi ni wanafki na wanawivu wa kisengesenge
 
Punguza hasira,
Agiza Dasani hapo nakuja kulipa
 
Hao watu wasiojulikana nyie si mnasema serikali yenyewe? Basi na Mange kwanini usiseme anajitumia meseji mwenyewe kwa id nyengine. Hivi unafikiri serikali ndio haiwezi kuwajua hao wanaomtumia meseji Mange? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
naomba jibu.
 
one of non logical, juzi alianza na tuhuma za shekhe badae tena akageuza lkn nyumbu wake wanakubali tu hata hawana muda wa kuhoji,, ujinga ni pale unamwamini mtu kwa kila kitu,
Wafuasi wake hawawezi kuhoji.... wao ni wafuata mkumbo tu. Atakachosema mange wao wanakikubali.... Mange ni wa kuwa milionea saivi nashangaa hachangamkii fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…