Mange anahatarisha ndoa za watu

Kwakweli anachofanya huyo binti huko insta si kizuri maana yeye anafikiri anamuharibia sheikh tu kumbe hata hao wanawake walio wahi kuwa wake zake nao anawachafua pia.
😳
 

Ukweli huuma Ndio maana wanahangaika nae. We Tulia list ishuke
 
Kuna Watu wanaudhi sana / mno Mkuu na Mimi huwa sipendi Kuwachelewesha katika kuwapa ' dozi ' sahihi.
Mimi imebidi nisome some kwanza komenti maana sijajua linaloendelea mitandaoni huko, maana posti imekaa kama ulivosema ki “mbea”
 
Ila amepachimbuaaaa!!.
Yani sheikh sijui atakuwa ktk hali gn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…