Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳Kwakweli anachofanya huyo binti huko insta si kizuri maana yeye anafikiri anamuharibia sheikh tu kumbe hata hao wanawake walio wahi kuwa wake zake nao anawachafua pia.
😀
Punje ya mchele...
Utakoma leoMsiwe mnamchokoza mange jamani,,mwishowe na sie tupachikwe hapo kwa page yake
Beby mi tumbo joto nahisi hata tuliosalimiana na shekhe tunawezwa wekwa kwenye listi
Wafuasi wa Mange kama kawaida yao, wapo katika ubora wao wa kuburuzwa... 😀 😀 😀
Huyu Mange unaweza ukadonwload picha ya mtu insta ukamtumia kisha ukasema kalala na huyo shehe, kisha mwambie ficha Id, yeye ataipost na kuongeza nyama (utafikiri anajua ukweli), na wafuasi wake utawaona wakishadidia wakifanywa wapumbavu.
Source haijulikani, Mtu mwenyewe anahadithiwa tu. imekuwa utakachomuhadithia kama ni negative for ccm basi yeye ataipost as if anaujua kinaga ubaga. Kuna wafuasi wake nlicheka sana siku wananambia eti Mange akitaka siri za mtu hakosi.... 😀 kawateka wajinga
Mimi imebidi nisome some kwanza komenti maana sijajua linaloendelea mitandaoni huko, maana posti imekaa kama ulivosema ki “mbea”Kuna Watu wanaudhi sana / mno Mkuu na Mimi huwa sipendi Kuwachelewesha katika kuwapa ' dozi ' sahihi.
Wana Kauli Za Kujifariji Wale Utawasikia Wakisema Dini Inarihusu Ngoja TuoneSheikh leo kama hajaangukwa kwa presha sijui.
Maana Mange huko anamwaga mambohahaha darling usijali mie naelewa huyu Sheikh Tito hajakufanya chochote.
Hadi kuwageuza pia dini Inaruhusu?Wana Kauli Za Kujifariji Wale Utawasikia Wakisema Dini Inarihusu Ngoja Tuone
Una shida gani na mieAkikuweka nishtue nina shida sana na wewe
Yani leo dada kagoma kulala ni kushusha mafile tuu.Maana Mange huko anamwaga mambo
Kwaaa Hapo Sina Cha Kuongea AitheeeHadi kuwageuza pia dini Inaruhusu?
Kwenye vita hatuchagui siraha ni kupiga tuKwakweli anachofanya huyo binti huko insta si kizuri maana yeye anafikiri anamuharibia sheikh tu kumbe hata hao wanawake walio wahi kuwa wake zake nao anawachafua pia.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwaaa Hapo Sina Cha Kuongea Aitheee
Nikiona picha yako ntashtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani leo dada kagoma kulala ni kushusha mafile tuu.