Mange anahatarisha ndoa za watu

Mange anahatarisha ndoa za watu

Wafuasi wa Mange kama kawaida yao, wapo katika ubora wao wa kuburuzwa... 😀 😀 😀

Huyu Mange unaweza ukadonwload picha ya mtu insta ukamtumia kisha ukasema kalala na huyo shehe, kisha mwambie ficha Id, yeye ataipost na kuongeza nyama (utafikiri anajua ukweli), na wafuasi wake utawaona wakishadidia wakifanywa wapumbavu.

Source haijulikani, Mtu mwenyewe anahadithiwa tu. imekuwa utakachomuhadithia kama ni negative for ccm basi yeye ataipost as if anaujua kinaga ubaga. Kuna wafuasi wake nlicheka sana siku wananambia eti Mange akitaka siri za mtu hakosi.... 😀 kawateka wajinga

Ukweli huuma Ndio maana wanahangaika nae. We Tulia list ishuke
 
Kuna Watu wanaudhi sana / mno Mkuu na Mimi huwa sipendi Kuwachelewesha katika kuwapa ' dozi ' sahihi.
Mimi imebidi nisome some kwanza komenti maana sijajua linaloendelea mitandaoni huko, maana posti imekaa kama ulivosema ki “mbea”
 
Ila amepachimbuaaaa!!.
Yani sheikh sijui atakuwa ktk hali gn?
 
Back
Top Bottom