Mange anahatarisha ndoa za watu

kama ulivyo uwepo wa "watu wasiojulikana", ni vivyo hivyo ndivyo watu wenye "hidden ID insta kwa Mange" nao wapo.

ni heri wale watakao waweka wazi "watu wasiojulikana", amini nawaambia hao nao watapata haki ya kuwajua wenye "hidden ID insta kwa Mange"!
 
Yaani hadi show ya wasafi Mwembe yanga imefunikwa haiongelewi ,bila kusahau kiki ya Mzee Slaa nayo imebumaaa.

Watu tupo Shehe Tito tangu jana
Hahahhhh hadi raha mukichwa
Acha wamchambue kama karanga aliyataka mpaka aseme pooh!
 
Kwakweli anachofanya huyo binti huko insta si kizuri maana yeye anafikiri anamuharibia sheikh tu kumbe hata hao wanawake walio wahi kuwa wake zake nao anawachafua pia.
"wanawake " waliowahi kuwa wake zake... ina maana ameoa na kuacha, anaoa na kuacha, anaoa na kuacha, anaoa na kuacha.. rekebisha andiko lako!
 
tehe tehe tehe Mange akupe namba yake
Ubaya wa haya mambo unaweza kukuta mange anampobda sheikh wakat yeye anaufanya mchezo...haya mambo ni siri za ndani
 
Nasikitika kusema upo sawa kabisa. Wote tuna mauchafu yetu na mtu wa LA akikufumua, utaomba YESU RUDI haraka aimalize dunia hii. Pole zao wote.
Kibaya ni kwamba kila mtu ana dark side sasa ikifika kwa dada inatolewa kwa mbwembwe mbona utafurahii.
 
Kuna Member Mmoja maarufu humu Jf nimemwona mke wako nenda kacheki kwenye list ya Mange kule ...
 
Wapendwa dawa ya mambo haya ni toba tu na kumkiri Bwana Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yetu basi. Otherwise kujibizana kwa hapa na pale hakutupeleki kokote zaidi ya jehanamu ya moto
 
Mkuu hapa umechanganya. .Waislam hatupo kwenye hili tukio.
Ni lake menyewe na Dada ake Kimambi.
 
Kwakweli anachofanya huyo binti huko insta si kizuri maana yeye anafikiri anamuharibia sheikh tu kumbe hata hao wanawake walio wahi kuwa wake zake nao anawachafua pia.
Anawachafuaje? kama anaongea ukweli wanachafukaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…