mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
Daah! Noma sanaNauza bei kubwa kweli
Drinkers za kuku zinahitajika
Mie nimekutukana boss, mbona mapovu au we ndio mange?Jizime kwanza ww mbwa kabisa
UmesahauKila wiki na mwezi kuna jipya
Mara Dr Shika
Mara Kiba 100
Mara Superlady kalizwa
Mara Nabii Tito
Mara Shekhe anapenda nyuma hataki mbele
Endeleeni kumpigia kampeni Mtulia.Misukule sio ile mnayo ipa kofia na kanga ??
Na kuwawekea taarabu?? Then Sera ni kumpenda mtu balaaa
Her days are countedSerikali i invest kwenye technology mbona huyu mange twaweza mzima mazima tu na asirudi tena!
Hahaha hide my fekoro JF
Her days are counted
Msiwe mnamchokoza mange jamani,,mwishowe na sie tupachikwe hapo kwa page yake
Jamani taratibu!Anatoa na kuacha lakini akikuacha lazima uolewe. Single ladies bahati hiyo
Kwenye List Upo Nin...??
Sheikh yuko allergic na mlango wa mbele
Her days are counted
Ww mtoto hebu tulia!Hahaha kama umesahau shule uliosoma,umesahau historia yako tangu umezaliwa,kama unahisi mambo yako unafanyaga kwa siri sana na hajui mtu yyote,basi mchokoze Mange[emoji23][emoji23]utachambuliwa kuanzia nywele mpaka kidole cha mwisho cha mguu[emoji23][emoji23]na hapo ndipo utakapojua kwa nini Idd amini pamoja na ugaidi wake aliitwa Dada
Halafu bila kujua anampigia kampeni Mtulia bure bure. Salum Mwalimu angejitenga na huyu mpiga debe wa Chadema mtandaoni.Kwakweli anachofanya huyo binti huko insta si kizuri maana yeye anafikiri anamuharibia sheikh tu kumbe hata hao wanawake walio wahi kuwa wake zake nao anawachafua pia.