Mange anahatarisha ndoa za watu

Mange anahatarisha ndoa za watu

945fd378cd8d7e470f042c25850099d0.jpg
 
Mange ataongeza vitendo vya kishoga nchini...sasa hadi wanaume wamekuwa na shauku ya mambo ya kike....tuwe makini sana kwakweli..
 
Kila wiki na mwezi kuna jipya
Mara Dr Shika
Mara Kiba 100
Mara Superlady kalizwa
Mara Nabii Tito
Mara Shekhe anapenda nyuma hataki mbele
Umesahau
Mara harmorapa
Mara wema na dai.....
Mara tunda na kinje etc....
 
Hahaha kama umesahau shule uliosoma,umesahau historia yako tangu umezaliwa,kama unahisi mambo yako unafanyaga kwa siri sana na hajui mtu yyote,basi mchokoze Mange[emoji23][emoji23]utachambuliwa kuanzia nywele mpaka kidole cha mwisho cha mguu[emoji23][emoji23]na hapo ndipo utakapojua kwa nini Idd amini pamoja na ugaidi wake aliitwa Dada
Ww mtoto hebu tulia!
 
Ukiwauliza watanzania Lin waliruhusu akili zao kutawaliwa na huyu Dada hawajui yani sawa na mtu ambaye ajui Lin alianza kupenda kufanya masterbation na anajua inamadhara kwake
 
Kwakweli anachofanya huyo binti huko insta si kizuri maana yeye anafikiri anamuharibia sheikh tu kumbe hata hao wanawake walio wahi kuwa wake zake nao anawachafua pia.
Halafu bila kujua anampigia kampeni Mtulia bure bure. Salum Mwalimu angejitenga na huyu mpiga debe wa Chadema mtandaoni.
 
Back
Top Bottom