Mange anahatarisha ndoa za watu

Umeongea sawa,lakini amini nakwambia kovu la kidonda alichopata sheikh hakitaweza kupona Leo wala kesho.ni ujasiri tu unahitajika
 
Umemjibu kwa hekima na busara ya hali ya juu sana,huko aliko nadhani atakuwa anajitafakari sana,lazima atakuja pm akuombe msamaha kama kweli Ana IQ kubwa kama ambavyo anajiona
 
Nchi ya wasadikika hii mkuu....kazi yao ni kuitikia tawireeeee
 
Ubaya wa haya mambo unaweza kukuta mange anampobda sheikh wakat yeye anaufanya mchezo...haya mambo ni siri za ndani
nikweli usemacho but afadhali ya mange hatopata kushangaza sana endapo ikibainika kuwa huwa anaufnya huo mchezo ..kuliko kiongozi wa dini ambaye ndiye mwnye jukumu lakusimamia maadili Katika Jamii kufikwa na hiyo skendo ni laana kubwa mnooo
 
Ikiwekwa list nitag tafadhali
 
Ni kweli anachukua info kutoka kwa watu... Lakini ukijua kutengeneza arguments na kuthink logically, huwezi kuandika hicho ulichoandika hapo.... Jifunze kuunga doys mkuu... Hata kama info hazitoki katika verified source lakini kuwa na sampo hata ya watu watano wanazungumza the same thing, ni lazim ujiulize mara mbilimbili... Kwa wale mlibahatika kusoma Logic either advance au chuo na mkaielewa, mtaju ni nn namaanisha
 
kiukweli nashangaa sana huko dar maisha ya watu yakoje
, yani kila mtu mange mangee, upumbavu mtupu
 
Hebu Jaribu kumtukana mange mkuu,, Kama hukutafuta TECNO ya tochi kwa muda..USIONE YABAYOTOKEA HUKO INSTA... . Yule akitaka data zako,, hakukosi,, ni zaidi ya CIA,, huyo SHEHE TITO wako now yupo ndani ya MTUNGI kajificha,,,, hakuna LA uongo hata moja,,,YOTE ni kwl TUPU,, ana ushahidi hadi pcha
 
Tusikitike kidogo tiitiitii [emoji58][emoji58][emoji58][emoji25] [emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…