Mange anahatarisha ndoa za watu

Mange anahatarisha ndoa za watu

Serikali i invest kwenye technology mbona huyu mange twaweza mzima mazima tu na asirudi tena!

Hahaha hide my fekoro JF
Kukaa kimya huepusha matatizo mengi. Yule mpenzi wa yanga aliitwa shaurini siku ya Ijumaa yeye akaitisha waandishi akasema ataenda jtano na maneno mengiiiii. Yaliomfika hatosahau kisa hakukaa kimya na kutii alichoitiwa. Kuna watu hupaswi kujibizana nao hadharani japo wanaumiza! Siyo lazima kutembelea page zinazokera.
 
Kukaa kimya huepusha matatizo mengi. Yule mpenzi wa yanga aliitwa shaurini siku ya Ijumaa yeye akaitisha waandishi akasema ataenda jtano na maneno mengiiiii. Yaliomfika hatosahau kisa hakukaa kimya na kutii alichoitiwa. Kuna watu hupaswi kujibizana nao hadharani japo wanaumiza! Siyo lazima kutembelea page zinazokera.
 
Huu ukwaju hata mnene pale mbele anausoma.
Yaan huu ubuyu unasomwa mpaka na vigogo.i can imagine wanapitia page ya mange kila saa wanapata burudani wanacheka mange bana anafurahisha sana.sasa kuna mheshimiwa katolewa kwenye list asubuhi hii nimeogopa sana hadi tumbo lilivuruga haki ya kweli.naomba ma ge aweke pozi kidogo watu hawajalala toka juzi
 
Hebu Jaribu kumtukana mange mkuu,, Kama hukutafuta TECNO ya tochi kwa muda..USIONE YABAYOTOKEA HUKO INSTA... . Yule akitaka data zako,, hakukosi,, ni zaidi ya CIA,, huyo SHEHE TITO wako now yupo ndani ya MTUNGI kajificha,,,, hakuna LA uongo hata moja,,,YOTE ni kwl TUPU,, ana ushahidi hadi pcha
Aaaahh mfuasi wake... wacha afiche id yako
 
Ni kweli anachukua info kutoka kwa watu... Lakini ukijua kutengeneza arguments na kuthink logically, huwezi kuandika hicho ulichoandika hapo.... Jifunze kuunga doys mkuu... Hata kama info hazitoki katika verified source lakini kuwa na sampo hata ya watu watano wanazungumza the same thing, ni lazim ujiulize mara mbilimbili... Kwa wale mlibahatika kusoma Logic either advance au chuo na mkaielewa, mtaju ni nn namaanisha

Uliisoma Logic vizuri?

Nataka kumchafua rais wa Tanzania. Nataka kusema yeye na Makonda huwa wanakamchezo cha baba na mama, Natengeza a different account, halafu najitumia meseji kwenye my account naandika utumbo kuhusu makonda na Rais, pretending to be someone else while texting yourself. Halafu nachukua screenshot, naficha hio Id kisha naipost. Wewe unaamini inatoka kwa credible source. Lakini Logic yako wewe haiwezi kujenga hoja, ndio maana moja kwa moja unaamini kuwa anaweza kupata all infos about you au unaamini kila kitu atakachosema bila kufikiria. Poleni
 
Uliisoma Logic vizuri?

Nataka kumchafua rais wa Tanzania. Nataka kusema yeye na Makonda huwa wanakamchezo cha baba na mama, Natengeza a different account, halafu najitumia meseji kwenye my account naandika utumbo kuhusu makonda na Rais, pretending to be someone else while texting yourself. Halafu nachukua screenshot, naficha hio Id kisha naipost. Wewe unaamini inatoka kwa credible source. Lakini Logic yako wewe haiwezi kujenga hoja, ndio maana moja kwa moja unaamini kuwa anaweza kupata all infos about you au unaamini kila kitu atakachosema bila kufikiria. Poleni
Unaweweseka, au na wewe unaliwa firigisi?

Ngoja niende kwenye insta ya Da Mange nione kama kula list mpya.
 
kama ulivyo uwepo wa "watu wasiojulikana", ni vivyo hivyo ndivyo watu wenye "hidden ID insta kwa Mange" nao wapo.

ni heri wale watakao waweka wazi "watu wasiojulikana", amini nawaambia hao nao watapata haki ya kuwajua wenye "hidden ID insta kwa Mange"!
Hao watu wasiojulikana nyie si mnasema serikali yenyewe? Basi na Mange kwanini usiseme anajitumia meseji mwenyewe kwa id nyengine. Hivi unafikiri serikali ndio haiwezi kuwajua hao wanaomtumia meseji Mange? 😀 😀 😀
 
mimi pia nilikuwa na mawazo kama yako, leo nimethibitisha story za Mange nyingi ni za kweli..., yaani leo live
Kisa kamzungumzia shehe Alihaji ndio umeamini kuwa mange mkweli... Mie nimethibitisha kuwa Mange ukimwambia akufiche id tu kisha tunga story inayomhusu mtu asiependwa na Mange basi ataipost.

Nilipokuja kushangaa nkaacha mdomo wazi ilikuwa meli ilokamatwa na Unga. Yeye mwenye kwenye post amesema imekamatwa huko nje mnamo tarehe 25 disemba. Kuna mdau akamtumia picha akawa ndio anamsapoti Mange na kumuonesha kuwa meli hio tarehe 29 ilikuwepo Zanzibar 😀 😀 nafungua comment hakuna mtu alohoji ukweli wa hio picha nikajua watu ni vichwa mchungwa. Ndio maana CCM itaendelea kuwaongoza. Yaani wachangiaji wote wameshindwa kujiuliza meli ilokamatwa tareh 25 ulaya, tena ya container, ndani ya siku 4 baada ya kukamatwa imeonekana Zanzibar (kina mange wanapodai kuwa imetoka na mzigo wa unga) kisha imerudi tena ilipokamatwa kwa ajili ya kukagyuliwa zaidi?

Ukweli hapa ndio nimemuelewa Mange, na pia nimewaelewa wafuasi wake ni watu wa aina gani.
 
Hata ww umetekwa kama kila siku upo unafuatilia post zake na mbaya zaidi mpka coments moja moja unsoma. Tuondokee hapa tuache tule popcorn
😀 😀 😀 wanawake mna mambo kweli. Natizama post zake kujifurahisha nafsi, na kuwapima wafuasi wake ni watu wa akili gani. Mmoja wapo ni wewe ndio wale wale wasioweza kuhoji. Toa hoja sio vioja.....

Hujui Instagram Explore page inafanya kazi vipi?
 
Ukweli huuma Ndio maana wanahangaika nae. We Tulia list ishuke
Yote Kheri kuwadhalilisha wengine? We unaonaje akija kukupost anasema umeliwa tigo kisa tu ex wako kagombana nae? imehusu kukuingiza wewe? At some point you need to be wise.... Sijawahi kuona Activists akiwa kazi yake kuchamba.
 
Wafuasi wa Mange kama kawaida yao, wapo katika ubora wao wa kuburuzwa... 😀 😀 😀

Huyu Mange unaweza ukadonwload picha ya mtu insta ukamtumia kisha ukasema kalala na huyo shehe, kisha mwambie ficha Id, yeye ataipost na kuongeza nyama (utafikiri anajua ukweli), na wafuasi wake utawaona wakishadidia wakifanywa wapumbavu.

Source haijulikani, Mtu mwenyewe anahadithiwa tu. imekuwa utakachomuhadithia kama ni negative for ccm basi yeye ataipost as if anaujua kinaga ubaga. Kuna wafuasi wake nlicheka sana siku wananambia eti Mange akitaka siri za mtu hakosi.... 😀 kawateka wajinga
Wajinga ambao wanafanya ufuska hadi kwenye ofisi za bakwata au unamanisha wajinga wapi hao
 
Back
Top Bottom