KwelijamiiForum nimeamini ni ya magreat thinkers manake ukisoma kwenye blog ya mangemashabiki wake wanamtetea na kosa linaonekana wazi. Kweli MBA ya mwarabu haijamsaidiakabisa. Yeye kuondoa trademark zatrebellawigs ni kosa kubwa, sasa madai yake anafananisha na Gucci, wellukiondoa trademarks kwenye picha from Gucci website still the Gucci bags willhave labels clearly identifying them as Gucci.
Yeyealivyoondoa trademark ya mawig yale mawig mtu yeyote hawezi kujua nani mmiliki,if anything I thought Mange anayo mawig mkononi ndo anayauza kumbe walaa ndokwanza anataka achukue hela za walugaluga, hela hizo hizo akazinunulie nywele apelekekwa trebellawigs yatengenezwe baada ya miezi mine ayatume bongo. Yeye mange angejisikiaje mtu angechukua nguozake za vitenge, afute trademark ya bongolicious azirushe kama vile mmiliki wanguo hizo aziuze kwa profit??? Mange angepiga kelele, so what she did remainsto be wrong, she stole someone else's work of their hand and she has yet toapologize.
Mangeungetumia akili ungeomba msamaha wa kufuta trademark, ungemweleweshatrebellawigs kwamba ulichukua picha za mawig yake ili tuu uwaonyeshe watejaukusanye oda zao na kwamba ulikuwa na mpango wa kuzipeleka hizo oda kwakeawatengenezee mawigi…hapo ningekuona umesoma.
Tribellawigskwa mtazamo wake since mange only ordered 1 wig from her alidhani mangeamechukua picha zake za mawigi anazitumia kuwamislead wateja halafuanawapelekea hao wateja mawigi mengine ambayo sio from tribellawigs….All mangeneeded to do was explain this to tribellawigs…but akili ya mange inamtumia etisince alimrefer huyo tribella as a supplier that was enough…pliz mange suppliercan be anyone na kama mange ni honest professional business woman she wouldhave done the right thing.
Sasa MBAya mwarabu imemtuma atukane watu weusi…jamani ujinga mzigo watu weusiwametukanwa na bado wameendelea kumsifia cha ajabu ni kwamba hata hayo mawigiwatakaonunua ni watu weusi. Halafu ukisomahistoria utajua vitu vingapi vikubwa watu weusi wameinvent ila yeye naukurupukaji wake kadai ndo maana wazungu wanainvent kila kitu…maskini ujingamzigo aisee.
Nachomshangaamange ni kwamba if tribellawigs akiamua kupeleka kesi mahakamani, akamshtakimange for copyrights mange akiulizwa na administrative judge did you takepictures and remove trademarks the judge will award tribellawigs whatever shesued for and mange will be liable to pay…now instead of clearing that simpleissue ameamua kuwatukana leyla linda na chaggabarbie. Mange jiulize kwa nini instagram walitakedown all your post za wig..instagram have ethics they knew you stole thepictures and took them down…you should have learned from this lesson instead yakuanzisha bifu la kutukanana.
Mangeukikosea lazima uambiwe na sio kila anaekukosoa anakuonea wivu, yes kina lindana chaggabarbie walishadadia mno ila ni maadui zako so it was expected but foryou to start character assassinations is kind low, I mean give it a rest itsgetting old attacking leyla and her high school issue.
Jamani najuanimeandika kiswakinge kwanza ID yenyewe ni ya mmewangu akikuta nimecommentujinga kama huu hahahahahahhahaha ila msinishambulie kiswakinge changu I just couldn'tdecide lugha ya kutumia(only 2% of my brain is working right now lol)