Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
Kama kweli hao wenye hizo products wako serious basi wa msue kabisa!

Duuu Yani anachukua product za watu na kuzifanya zake kwa kuweka trade mark yake,bora hata angebadilisha product design kidogo!

Mrembo by Nature,hivi huyo Mange ni verify user wa IG? Maana kama wahusika watahamua kwenda mahakamani anaweza kuwashinda kwa kuikana hiyo Id yake kama sio verified!

Kama watampeleka mahakamani wataomba fidia ambayo sijui kama ataiweza kama kweli wako serious!

Hii ni aibu sana!
 
Last edited by a moderator:

Jamanii nataka kusoma michambo ya chagga bebii mbona siioni maana naona nae anachambwaaa loo,wapii linda chamba kabisa huyo mange anamchambaga mtoto wako wakati nae anae wa kike helooooiiii
 
Last edited by a moderator:
Muacheni jaman mama shipping cost, yani atakuwa amelaani leo mange, watu washaua biashara yake na sijui kama watu watamuamini kweli dah, kweli wabongo ni nuksi

Haaaachwiii mtu leoo mbona atasahau kunyonyesha mume na mtotooo ngoja nikimbie kwa sintaa
 
Ana website
 
Last edited by a moderator:
Chezea mama shipping cost wewe aka mama madolali, maana siku izi mange alikuwa aongei sana yeye ni SHIPPING COST na USD$ ,madai mwenyew yupo kibiashara zaidi hatak umbea tena, kumbe majanga na leo wamemkomesha ila yule ni kiboko utakuta yupo mkavu

ukiona kaandika nakala ka za gazeti la Rai jua kapanick tena kapanick hasa .....

wacha niendelee kucheka mie
 
Imagine umeanzisha biashara yako unalipa tax na trademark na unajenga reputation yako nzuri Leo hii Mange na Huyo m Nigeria wake wanaanza kumtukana Huyu mfanyabiashara wanamtukana kisa amewastukia.Mange Ana act Kama scammer .scammer ukimshtukia anazidi kukufuatana kukutukana .Aache biashara na wanigeria especially USA .
 
Last edited by a moderator:
Mkuu una muongelea Huyo Edzen aliyempiga mkewe? Hapo ndio alionesha ni mtu wa ajabu sana!
Mkuu huyo Edzen alikuwa anaishi kwa nani? Alishindwa kupanga nyumba akaishi na mkewe halafu akamwambia Dida hile yake apangishe?

Huyo hayo yote umekata mwenyewe kabisa na yana ukweli kabisa na kayakubali kwenye video.

Mimi alinichukiza nilipo ona video hile na kusikia kuwa alikuwa ana kaa kwa Dida na huo unaweza ukawa ushahidi wa zile KKKK wanazo zisema!

Ni mchapakazi kwenye shughuli za Utangazaji lakini Kuna mambo yamefanywa mshinda na bila shaka amejifunza.
 
Hao kama wako serious waache kujibishana nao kwenye mitandao bali waende mahakamani wakafungue case ya madai na wadai fidia!

Kujibishana nao kwenye social net works hakusaidii kama wako serious!
 
Chakubimbiiii Mange wapiiiiii leo umeukaliaaaa leooooo umepangwaaa sawaaa sawaaaaaa tehe teh tehhh
 
Umeongea point sana aongee na huyo mnugu wamalize mambo business as usual sasa yeye hakubali kushindwa ndo anatukana kama hana akili nzuri.na hivo.ndo vinamuharibia reputation yake kwenye biashara mdomo.akiuendekeza una mcost akubali tu kakosea basi
Ntashangaa sana hili swala likiisha bila Mange kupandishwa kizimbani!
 
KwelijamiiForum nimeamini ni ya magreat thinkers manake ukisoma kwenye blog ya mangemashabiki wake wanamtetea na kosa linaonekana wazi. Kweli MBA ya mwarabu haijamsaidiakabisa. Yeye kuondoa trademark zatrebellawigs ni kosa kubwa, sasa madai yake anafananisha na Gucci, wellukiondoa trademarks kwenye picha from Gucci website still the Gucci bags willhave labels clearly identifying them as Gucci.

Yeyealivyoondoa trademark ya mawig yale mawig mtu yeyote hawezi kujua nani mmiliki,if anything I thought Mange anayo mawig mkononi ndo anayauza kumbe walaa ndokwanza anataka achukue hela za walugaluga, hela hizo hizo akazinunulie nywele apelekekwa trebellawigs yatengenezwe baada ya miezi mine ayatume bongo. Yeye mange angejisikiaje mtu angechukua nguozake za vitenge, afute trademark ya bongolicious azirushe kama vile mmiliki wanguo hizo aziuze kwa profit??? Mange angepiga kelele, so what she did remainsto be wrong, she stole someone else’s work of their hand and she has yet toapologize.

Mangeungetumia akili ungeomba msamaha wa kufuta trademark, ungemweleweshatrebellawigs kwamba ulichukua picha za mawig yake ili tuu uwaonyeshe watejaukusanye oda zao na kwamba ulikuwa na mpango wa kuzipeleka hizo oda kwakeawatengenezee mawigi…hapo ningekuona umesoma.

Tribellawigskwa mtazamo wake since mange only ordered 1 wig from her alidhani mangeamechukua picha zake za mawigi anazitumia kuwamislead wateja halafuanawapelekea hao wateja mawigi mengine ambayo sio from tribellawigs….All mangeneeded to do was explain this to tribellawigs…but akili ya mange inamtumia etisince alimrefer huyo tribella as a supplier that was enough…pliz mange suppliercan be anyone na kama mange ni honest professional business woman she wouldhave done the right thing.

Sasa MBAya mwarabu imemtuma atukane watu weusi…jamani ujinga mzigo watu weusiwametukanwa na bado wameendelea kumsifia cha ajabu ni kwamba hata hayo mawigiwatakaonunua ni watu weusi. Halafu ukisomahistoria utajua vitu vingapi vikubwa watu weusi wameinvent ila yeye naukurupukaji wake kadai ndo maana wazungu wanainvent kila kitu…maskini ujingamzigo aisee.

Nachomshangaamange ni kwamba if tribellawigs akiamua kupeleka kesi mahakamani, akamshtakimange for copyrights mange akiulizwa na administrative judge did you takepictures and remove trademarks the judge will award tribellawigs whatever shesued for and mange will be liable to pay…now instead of clearing that simpleissue ameamua kuwatukana leyla linda na chaggabarbie. Mange jiulize kwa nini instagram walitakedown all your post za wig..instagram have ethics they knew you stole thepictures and took them down…you should have learned from this lesson instead yakuanzisha bifu la kutukanana.

Mangeukikosea lazima uambiwe na sio kila anaekukosoa anakuonea wivu, yes kina lindana chaggabarbie walishadadia mno ila ni maadui zako so it was expected but foryou to start character assassinations is kind low, I mean give it a rest itsgetting old attacking leyla and her high school issue.

Jamani najuanimeandika kiswakinge kwanza ID yenyewe ni ya mmewangu akikuta nimecommentujinga kama huu hahahahahahhahaha ila msinishambulie kiswakinge changu I just couldn’tdecide lugha ya kutumia(only 2% of my brain is working right now lol)
 

Yani umesema vyema hadi umpepitiliza...mange akikosolewa anaita kila mtu hater na follower wake wanampotosha big time. Hati miliki kwenye international business ni kitu kikubwa sana. Ugomvi wake na Lynda chanzo ni wizi wa Kazi pia.
 

She should be sued for trademark infringement...
 
Hao kama wako serious waache kujibishana nao kwenye mitandao bali waende mahakamani wakafungue case ya madai na wadai fidia!

Kujibishana nao kwenye social net works hakusaidii kama wako serious!

USA evidence na non verbal ndio vinawaweka watu ndani.wanamwacha atukanee ili ajitundike mwenyewe .Charges zake zinakuwa ( harassment ,online stalking,stealing ,verbal assault ,bribery )mwacheni Wajomba watakuwa wanam soma tuu saizi.Huyo mwenye biashara comment zake zimekaa kielimu na kisheria .usa hapa atajikuta ndoa chali watoto full custody mume atapewa haya.na Kama Mumewe anafurahia Haya basi mume anamtafutia Sababu hard evidence ya kuachwa .haya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…