Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
Hujamwelewa BADILI TABIA .
He he mie nacheka wabongo wanatukana kiswahili kwa mnaijeria kweli watu misukule.
Leo mange sijui kama ametulia

Unaelewa aliposema kuhusu missing a business opportunity??
 
Last edited by a moderator:
Mmbea mwenzangu wapi Dinazarde Kim nana
Yaani siku hizi msuto ig tu.
He he keshapangwa tayari afu wema kacoment kumtetea dada yake.
Usipojipanga hana kazi kampanga dada wa boss wake.
Yaani hapa kazi na umbea lol

Shogaaa kidogo nipitweee miee looo kaumbuliwaaa ajiju vizurii kila siku kutupigia keleleee hahhhhhhaaaa yamemshukaaa leooo, hatumwi mtu sokonii leooooo
 
Last edited by a moderator:
Pita salama
 
Kakomeshwaaaaaaaaa hua anajifanya kila kitu anajuaaa si atafute kazi afanye ya maofisiniii kakomeshwajeeeeee

Halaf Mrembo by Nature mbona hujaniitaaa yaan! !!!!!

Shoga nisamehe...si unajua mfungo...niliogopa kukutengua udhu. Bi mkubwa kapoa km mhogo wa shouger
 
Last edited by a moderator:
Shoga nimekujaaa yaan siku hiz napitwaaa wa GossipcoWarumii

MBA Ndio ilimfundisha kucopy na kupaste bila ruhusa shoga. Like garasha na si MBA. Business Ina process zake yeye kujitia international hajui copyright na trademarks ??? Hii bonge la Kesi kibiashara za kisomi.yule mmachinga full stop
 
Last edited by a moderator:
Binamu umeshapata na aka we mtata

Maana binamu mange kutwa alikuwa ni shipping cost na madolali tu mmh nikajisemea mange mwaka huu katuweza kumbe wote huu usanii , si kashatuona wabongo shopping za online ni washamba washazoea kununua nguo minadani basi ,mwenzetu kakazana tu na shipping cost hatak masihara
 
Kakomeshwaaaaaaaaa hua anajifanya kila kitu anajuaaa si atafute kazi afanye ya maofisiniii kakomeshwajeeeeee

Halaf Mrembo by Nature mbona hujaniitaaa yaan! !!!!!

Muacheni jaman mama shipping cost, yani atakuwa amelaani leo mange, watu washaua biashara yake na sijui kama watu watamuamini kweli dah, kweli wabongo ni nuksi
 
Last edited by a moderator:

Uliona eeh dolare 800, 500, hehe me nilijua anazo hair tayari Kumbe rusha roho tuwatoe roho mtaa wa 15
 

Uko sahihi..Mange angeomba msamaha kwa huyo mnugu sijui mhaiti..akiri kosa la kuiba picha za watu hadharani na kufuta jina la owner...then amwombe msamaha huyo mnugu.
Pia umeongea point ya maana sana tukija huko marekani tusikurupuke hasa wanaijeria maana wana very bad reputation ya kuwa scammers... sasa dada yetu from tanzania kavamia marekani na kujikuta ana mess up na very wrong people-Nigerians umeona walichomfanya? But I still feel our tanzanian sister Mange..maziwa yassishe tu ashindwe kunyonyesha maana stress inakata maziwa kwa wamama.
 
Uliona eeh dolare 800, 500, hehe me nilijua anazo hair tayari Kumbe rusha roho tuwatoe roho mtaa wa 15

NIlikuwa naona binamu, ntafanyaje sasa, nikajisemea mange siku izi hatak mchezo anaongea na madola tu na shipping cost mara apige picha mwenyew ana post yeye ni $ na shipping cost ,mange alikuwa haongei sana,vitendo ndo vilikuwa vinaongea, nashangaa leo anavyoshuka na mistar uko insta, sijui page ya ngapi now, mbona analo leo kumbe hakuna shipping cost wala nini mmh ndo alikuwa anajifanya na yeye ndo akina Gucci sijui
 

Waagiza mizigo wanadai wanapata after 8 months ila bidada daily na parcel na miphoto ili mjue biashara ....hili ni bomu kwa kimavi. Alafu Matola sijamuona kabisa hapa
 
Last edited by a moderator:

Binamu unawaona watu walivyovurugwaaa yaan wanamchamba mnigeria kwa kiswahiliii haki ya mamaa leo ntaotaa ngoja nikimbie kwa sinta nikasome michambo ya kina ndito mieee leoo huu umbea mzuriu kweliiii looo
 

Umeongea point sana aongee na huyo mnugu wamalize mambo business as usual sasa yeye hakubali kushindwa ndo anatukana kama hana akili nzuri.na hivo.ndo vinamuharibia reputation yake kwenye biashara mdomo.akiuendekeza una mcost akubali tu kakosea basi
 
Kuna siku ulisutwa u turn.Unakumbuka?

Teh teh tulisutwaa ila leo misuto mingi watatusuta siku nyingineee tulimchambaga humu weee tukahamishwa uturn,,, wapiii Nyasamaki njooo uonee huku leo mange hakojoiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
MBA Ndio ilimfundisha kucopy na kupaste bila ruhusa shoga. Like garasha na si MBA. Business Ina process zake yeye kujitia international hajui copyright na trademarks ??? Hii bonge la Kesi kibiashara za kisomi.yule mmachinga full stop

Tuliambiwaaa MBA ni ya makombe hahhhhhhhhhhhaaa US haitambulikii labda bongo huku kila kitu chawezekanaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…