Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
mume.analipwa kima cha chini lazima achakarike u know lol

Mxiuuuuuuu! Uongo mwingine nao! Sasa yule bwana kule raia, ana mi benefit yote, afu mzawa, afu white unafikiri mganga njaa kama waume zenu waliozamia? Nyoooooo! Au mume wa BANKRUPTCY! Hahahaaaa! Watu wameolewa na balck wanahaha si wote (kuna black kama Mziray enzi zake unakula bata mpaka kuku anaona wivu) wanajua na yule anahaha! Dhubutuuuuuuuuuu! UKICHAGUA NYAMA CHAGUA ILIYONONA, NA UKICHAGUA MUME CHAGUA ZUNGU ZAWA ORIGINAL NDO KIDOGO UTAINUSA THE AMERICAN DREAM. CHEZEA KUWA DEPORTED NA KUKANYAGA KWA KUJITANDAZA US! Hahahaaaaaa!
 
hapo ndo kasoma kote hapoooo...exposures kibao amexperience ndo mswahili vile na kaolewa hapooo...!ndo angesoma kama mie dsm kuanzia nursery mpaka juu ingekuaje tena shule za kata llloooh!mbona haendani elimu yake...m????!!!!wanamzidi ht wa hapa hpa!

Uswahili upi alio nao! We hujulikani ndo maana huchokonolewi, mwenzio watu wanamuanza daily ugomvi. Asijibu kwa nini? Anawachamba kisawasawa!
 
Uswahili upi alio nao! We hujulikani ndo maana huchokonolewi, mwenzio watu wanamuanza daily ugomvi. Asijibu kwa nini? Anawachamba kisawasawa!

hapana mange ana shida saana tena saana lara unamtetea kwa sababu unampenda ila mimi kwanza nlikua simjui kabisa yaani nimemjua kupitia maugomvi mbona na yule nahisi ana tatizo katika kichwa chake watu km wale wapo lara yani hawakubali kushindwa asilani siku zote na wanapenda kuabudiwa ndo mange yani anaamini ye perfect kiukweli yule dada mshamba wa akili yule ni woman with education not educated woman
 
Hamnaaaa! Mange hana tatizo lolote! WATU WOTE ANAO WACHAMBA WANAMUANZA WENYEWE AKIWAGEUKIA WANAANZA KUJIVICTMISE! Mbona asikuchambe wewe ghafla ghafla tu?
Washamba ni kina Chagga bibi, na BIBI Linda. NA KWANINI USHINDWE.?

SIJAONA WAKUMSHINDA MANGE COZ WANAOBISHANA NAE WOTE 0 BRAIN WALIKIMBIA UMANDE!
 
Sasa kama alikuwa rich inatuhusu nini sie heeh majanga hata kama angekuwa biligate it diesnt matter that means nothing new under the sun hizo.zimekuwa zilipendwa

REFER YOUR YOUR COMMENT ULIWEKA SARCASAM KWAMBA HIS DADA WAS NOT RICH! Nilikuwa naku inform tu HE WAS REALLY RICH, sio mashauzi ya uongo, that was a fact!
 
Wana wivu haooooo haooo wachonganishi ha0ooooo lol mange ndio ukome kutumia liblog lako kunyanyasa watu yaaaani nimefurahi leo acha tu leo usingizi am sure hauji its the same feeling when you put mrs sembe,blacksheep,kindoo etc hawakulala na wewe leo ndio upate kidogo taste of your own medicine BITCH!
 
Hamnaaaa! Mange hana tatizo lolote! WATU WOTE ANAO WACHAMBA WANAMUANZA WENYEWE AKIWAGEUKIA WANAANZA KUJIVICTMISE! Mbona asikuchambe wewe ghafla ghafla tu?
Washamba ni kina Chagga bibi, na BIBI Linda. NA KWANINI USHINDWE.?

SIJAONA WAKUMSHINDA MANGE COZ WANAOBISHANA NAE WOTE 0 BRAIN WALIKIMBIA UMANDE!
hivi kila siku ye ndo akosewe tuuu....ina maana ye nani labda jiulize kagombana hadi na marafiki wa karibu yule mi nakwambia hata wewe ukiwa nae karibu atakulipua binadamu wa aina gani anaetaka kua juu yeye tu?!!!anajifanya anawapenda sababu anawzd ngoja ajue kuna watu wanamzidi ktk wale fans wake na ushog waisha kwanza hana hekma,hana busara, hamheshimu mumewe hata kidogo
,sijui hajafundwaaaa yuleeee....?natamani nimjue kungwi wake nimshauri amuingize tena kwenye msondo llllooooh!
Asa kuna tofauti ganj kati ya waliosoma na wasiosoma maana ya elimu ni nini?sawa ndo lifestyle yako ya show off i cant blame hervndo uchambane anajitoa akili sana tukisema anasafiria nyota za wenzie mana mtu gani bila mabeef hujulikani !s
 
Mxiuuuuuuu! Uongo mwingine nao! Sasa yule bwana kule raia, ana mi benefit yote, afu mzawa, afu white unafikiri mganga njaa kama waume zenu waliozamia? Nyoooooo! Au mume wa BANKRUPTCY! Hahahaaaa! Watu wameolewa na balck wanahaha si wote (kuna black kama Mziray enzi zake unakula bata mpaka kuku anaona wivu) wanajua na yule anahaha! Dhubutuuuuuuuuuuamu! UKUICHAGUA NYAMA CHAGUA ILIYONONA, NA UKICHAGUA MUME CHAGUA ZUNGU ZAWA ORIGINAL NDO KIDOGO UTAINUSA THE AMERICAN DREAM. CHEZEA KUWA DEPORTED NA KUKANYAGA KWA KUJITANDAZA US! Hahahaaaaaa!
Lara Siasa ya ujamaa na kujitegemea .binadamu ili aishi anahitaji mavazi , malazi na nini tena .sidhani Kama instagram
Blog na Internet zipo Kwenye list .God bless Tanzania na watu wake na kidumu Chama cha mapinduzi ( kidumu) Nawatu wake ( kidumu)
 
umesahau chakula dada!umenifurahisha sana na comment hii!mengine mapito tuuu...!ya nini kujenga chuki na watu wewe tuuu..!
 
Wana wivu haooooo haooo wachonganishi ha0ooooo lol mange ndio ukome kutumia liblog lako kunyanyasa watu yaaaani nimefurahi leo acha tu leo usingizi am sure hauji its the same feeling when you put mrs sembe,blacksheep,kindoo etc hawakulala na wewe leo ndio upate kidogo taste of your own medicine BITCH!

Ata unamchukia kiasi gani usifurahie mateso yake .Huwezi jua nini kinaendelea Kwenye Maisha yake .labda Anatafuta Maisha ya pekee huwezi jua.
 
Ata unamchukia kiasi gani usifurahie mateso yake .Huwezi jus nini kinaendelea Kwenye Maisha yake .labda Anatafuta Maisha ya pekee huwezi jua.

Mie mwenzio nafurahiii saana ameonea wengi
 
Mie mwenzio nafurahiii saana ameonea wengi

yani maisha gani haya sasa.....!!!??na si wewe peke yako wapo wengi wamefurahi hii ktu ujue ndo ajiulize mpaka lini maisha haya?!!!binafs namuonea huruma elimu yake haijamsaidia
 
hahahhaa umbea wa leo instagram mpaka kichwa kinazunguka kazi hazifanyiki....sasa mange kapewa challenge ndogo na mtoto wa miaka 20 leyla..kaambiwa aache kumsema behind her back akammseme live kwa page ya leyla...kwa kweli mange unamsemaga sana huyo mtoto now dont be a coward yell her to her face and if you cant then its only fair from today going forward dont say anything negative about leya on your blog....
 
Mange doesn't have that brains she is insane totally insane without knowing kwamba ni mgonjwa mbaya zaidi ana supporters ambao ni insane kama yeye
Nyerere angekuwepo angekula viboko na angerudi bongo by foot

hahaaaahaa pozi la kurudi bongo on foot..........
 
hahahhaa umbea wa leo instagram mpaka kichwa kinazunguka kazi hazifanyiki....sasa mange kapewa challenge ndogo na mtoto wa miaka 20 leyla..kaambiwa aache kumsema behind her back akammseme live kwa page ya leyla...kwa kweli mange unamsemaga sana huyo mtoto now dont be a coward yell her to her face and if you cant then its only fair from today going forward dont say anything negative about leya on your blog....

duh!hatareeee...!safi sana mi nawaambja kabisa mange bila maugomvi asngekua maarufu ng'o...!!ndo mana anajitahid kweli akisikia kakosewa bas achambeee ndo ajulikane
 
USA hakuna deal .Work hard follow the law .kuchukua picha na kuweka Kwenye website is a crime .TRADEMARK inalipiwa na people pay tax na kila mtu work hard kuwa na good reputation .Mimi ningekuwa mange ningeomba msamaha na nisingeanza matusi na ugomvi.Biashara inahitaji uvumilivu ,compassion na uaminifu .Mange hajui huyu dada .Je akimshtaki FBI as a scammer na IP lawyer akamchunguza mange itakuwaje ?Mange alianza na bongolicious akawa anauza Nguo je hizo Nguo ni yeye ameshona au design ?( imagine mtoto wako anaibiwa na anabadilishwa jina how will you feel ). Mange alikuwa anafanya biashara na mtu yupo Nigeria ( USA na wanigeria wanawaita scammers ni suspect hapa USA ) so number one don't do business na m Nigeria ( unajuaje Huyo m Nigeria ndio alimtenda ?) .Ningekuwa mange ningetulia kimya kuandika matusi makelele ni sigh ya kuwa she is guilt .Kaa tulia na family yako think deep about life na consequences zake .Be nice to people sasa unapotukana
ndio unaongeza maadui na biashara haiitaji maadui.Akikureport FBI utafanya nini kaa kimya basi yaishe .Siri ya mafanikio ni kujua kitu wewe peke yako wanigeria wa nini ?Life is too short be nice and people will be nice to you .Smile and be happy celebrate life not money .Please God not a society
Nimekupenda bure kabisa. Yeye amerukia kutukana, hajui kama hii tayari ni case na inaweza fika mbali. Sababu hata makubaliano ya biashara yalikua hayajafanyika. Kwa hapa sioni MBA inamsaidiaje then amekaa Marekani, hajajua biashara zinahitaji unyenyekevu especially scandal kama hii. Anaweza kupotea na kupoteza imani ya biashara take( image ya hiyo shopaholic take) Si kila league lazima ushinde jama, tatizo ye anaona ujanja ni kujibu watu kwenye blog na kuwabully. Sasa unatukana weusi wakati we ni mweusi, nani asiyejua wazungu wanavyotubagua hapa Marekani?
 
Mxiuuuuuuu! Uongo mwingine nao! Sasa yule bwana kule raia, ana mi benefit yote, afu mzawa, afu white unafikiri mganga njaa kama waume zenu waliozamia? Nyoooooo! Au mume wa BANKRUPTCY! Hahahaaaa! Watu wameolewa na balck wanahaha si wote (kuna black kama Mziray enzi zake unakula bata mpaka kuku anaona wivu) wanajua na yule anahaha! Dhubutuuuuuuuuuu! UKICHAGUA NYAMA CHAGUA ILIYONONA, NA UKICHAGUA MUME CHAGUA ZUNGU ZAWA ORIGINAL NDO KIDOGO UTAINUSA THE AMERICAN DREAM. CHEZEA KUWA DEPORTED NA KUKANYAGA KWA KUJITANDAZA US! Hahahaaaaaa!

hahahaha sasa lara huyo mume mi namtoa wapi haha nikioloewa mimi lazima ualikwe uje uone kwa macho
sasa rafiki yako ndo kachagua iliyonona pale kuitwa kuhangaika mara huku mara kule haeleweki mpka yamemkuta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom