Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Haya ndio maneno aliyoyaandika Mange katika ukurasa wake wa instagram
By mangekimambi_ Breaking News Wema Sepetu na Mama yake wanarudi CCM very soon.......Rudini nyuma kuna posti niliweka Wema alipokuwa Rwanda nikaandika kuna tatizo nimeliona. Nilipomuona tu Wema katua Rwanda tena amekacha tarehe ya Mahakama bila uwoga nilijua kuna mkono wa CCM pale na ndo maana nikaandika kuna tatizo, mostly ilikuwa ni Wema kwenda Rwanda ndo nilipojua kuna problem. Alieniletea habari ambae ni mtu mkubwa sanaaaa CCM kaniambia nyumba ya mama Wema inabomolewa kama wasiporudi wamepewa muda wajifikirie. Na notice ya kubomolewa nyumba wameshapewa.
That’s their family house. Ila pia kaniambia Mama Wema keshaamua kurudi sasa hivi anam convince Wema warudi, na ameendelea kwa kuniambia kuwa Wema pia keshaamua kurudi ila anaona aibu kuface jamiii.....Yani unaambiwa Mama Wema alipotajiwa nyuma yake kubomolewa fastaaaa akakubali kurudi CCM. Na kesi kaambiwa akirudi CCM itakwisha vizuri. Asiporudi haitokwisha ni kila siku mahakamani mpaka arudi CCM na anaweza kufungwa kama asiporudi CCM. So hapo ana mawili nyumba ya mamake na kesi yake...... . . .
Kilichobaki ni kutangaza tu!! So Watanzania kaeni sawa anytime Wema Sepetu na Mama yake wanatangazwa kurudi CCM. . . Oh yeah.
Wakirudi CCM Magufuli habomoi nyumba yao!! Na sio warudi Hivi Hivi wameambiwa lazma wamsifie na waseme wameona Chadema haifai yeye ndo anafaaa. . . Kuna habari natoaga alafu sina uhakika nazo na huwa nawaambia kabisa kwa habari flani I’m not very sure Ila hii habari ya Wema naomba niwaambie I’m 100% sure!!!!! Hiii habari nna uhakika nayo kwa asilimia 100. It’s only a matter of time.
Na nna uhakika nayo sababu nimepewa na mtu mzima sanaaaaa. Ambae hata instagram yake kasaidiwa na wanawe kufungua. Ni mtu nnae mweshimu mnooo!! . . .
PS: Ila dah, nna mengi ya kuongea juu ya hili ila ntasuburi siku wakitangazwa kurudi CCM ndo ntaongea...
======
UPDATES: 30 Nov 2017
Mama mzazi wa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, Miriam Sepetu amekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye na mwanawe wana mpango wa kurudi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).