Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Iv Tz inapiga kura ya wazi au ya siri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafeli jamaa yangu...kwani mi nimekupinga wapi?andika ueleweke bas mkuu
Wewe unajua mama wema anaishi wap?
unataka kunambia tanzania nzima mpinzan mwenye nyumba ni mama wema pekee?
Au akili yako haina akili?
Sikiriza-SikilizaKuna mbwa za mange ndio zinazimsikiriza na kuamini maneno ya kipuuzi kama haya.
Kwamba tusi iamini ile habari aliyopost kuwa Kyela wagonjwa wanalala chini, na Waziri husika kujitokeza na kusema ni uzembe wa Halmashauri?Kuna mbwa za mange ndio zinazimsikiriza na kuamini maneno ya kipuuzi kama haya.
Acha maneno ya shombo.Arudi asirudi hana impact yoyote yule! Chadema walimchukua kwa mbwewe wakidhani ndo mkombozi wa chama kumbe hollah!
Sory sana kiongoz ndio maana nilikwambia andika uelewekeunafeli jamaa yangu...kwani mi nimekupinga wapi?
siyo mshashi kweli?Au na yeye mangi kimbambi ni msukuma? ili tujue kama ni kabila la visasi
siyo mshashi kweli?Au na yeye mangi kimbambi ni msukuma? ili tujue kama ni kabila la visasi
hahahaaaasiyo mshashi kweli?
Wengine tumeshangaa Taarifa haina tusi hata moja?!Kwa sababu da Mange kasema basi mimi nimekubali siwezi kumbishia da Mange kwakweli...
Kumbe huwa unasoma post zake?Mange bhana yani hana kazi nyingine kazi ni udaku tu hivi angepitishwa na ccm ktk kura za maoni na kushinda 2015 angeongea hayo au kisa alikatwa jina lake jimbo la kinondoni ktk kura za maoni 2015?
Yeye anasema JPm mi mtu wa visasi je anayofanye yeye sio visasi?
Watanzania tumechoshwa na siasa za kiki mtaani vyuma vimekaza tumechoshwa na siasa waache waendelee na maisha yao na sisi na maisha yetu nje ya siasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu mange aache makiki ya kipumbavu ya kumuhusisha mheshimiwa rais na upumbavu wa mama wema
Mama wema saiz yake ni akina stive nyerere
Hiyo nyumba ya mama wema inabomolewa kwa lipi? Iko kwenye hifadh ya barabara au iko wapi?
Mange asitake kuzan kila mtu ni rofa wa kuamini kila upumbaavu anaoandika
Huu upuuz wake hauna nafas kwenye tanzania ya leo
Mtu huhama chama kwa mapenz yake mwenyewe waache kutafuta sababu za kipuuz puuz hapa
Wema , Mama Wema Na Mange . Na tusubiri hivyo Viwonder vya SAYONA tu maana hakuna tunalowaza zaidi ya hayo.
UZI WA KATIBA MPYA UMESINYAA HAKUNA ANAYESUMBUKA KUFANYA AMSHA AMSHA KAMA TUNGEJITAMBUA VIZURI SAA HIZI FUJO KELELE NA UDAKU WOTE TUNGEUHAMISHIA HUKU KWENYE KUDAI KATIBA MPYA. WATAWALA WA AWAMU HII WANAFUATILIA NA KUOGOPA SOCIAL MEDIA KULIKO AWAMU ZOTE . ANGALAU INGESAIDIA KUPAZA SAUTI ZETU
ONENI WENYEWE HUU NI UZI MMOJA TU KATIKA MINGI ILIYOGUSIA KATIBA MPYA YOTE IMEFUBAA TU . Ukileta hizo takataka za kina Mange uzi unafika page 300 kabla ya alasiri. TUBADILIKE KAMA KWELI TUMECHOKA UJINGA UNAOENDELEA
Tuachane na magufuli tudai katiba mpya.
Tuachane na magufuli tudai katiba mpya.
hii single ya hamahama mbona imeishachuja??washauri wa magu waje na single nyingine. hata ile ya makinikia imebuma. na ile ya ushindi kata 42 haijambamba kivile. ndo sababu magu ana mafrastrationHaya ndio maneno aliyoyaandika Mange katika ukurasa wake wa instagram
By mangekimambi_ Breaking News Wema Sepetu na Mama yake wanarudi CCM very soon.......Rudini nyuma kuna posti niliweka Wema alipokuwa Rwanda nikaandika kuna tatizo nimeliona. Nilipomuona tu Wema katua Rwanda tena amekacha tarehe ya Mahakama bila uwoga nilijua kuna mkono wa CCM pale na ndo maana nikaandika kuna tatizo, mostly ilikuwa ni Wema kwenda Rwanda ndo nilipojua kuna problem. Alieniletea habari ambae ni mtu mkubwa sanaaaa CCM kaniambia nyumba ya mama Wema inabomolewa kama wasiporudi wamepewa muda wajifikirie. Na notice ya kubomolewa nyumba wameshapewa.
That’s their family house. Ila pia kaniambia Mama Wema keshaamua kurudi sasa hivi anam convince Wema warudi, na ameendelea kwa kuniambia kuwa Wema pia keshaamua kurudi ila anaona aibu kuface jamiii.....Yani unaambiwa Mama Wema alipotajiwa nyuma yake kubomolewa fastaaaa akakubali kurudi CCM. Na kesi kaambiwa akirudi CCM itakwisha vizuri. Asiporudi haitokwisha ni kila siku mahakamani mpaka arudi CCM na anaweza kufungwa kama asiporudi CCM. So hapo ana mawili nyumba ya mamake na kesi yake...... . . .
Kilichobaki ni kutangaza tu!! So Watanzania kaeni sawa anytime Wema Sepetu na Mama yake wanatangazwa kurudi CCM. . . Oh yeah.
Wakirudi CCM Magufuli habomoi nyumba yao!! Na sio warudi Hivi Hivi wameambiwa lazma wamsifie na waseme wameona Chadema haifai yeye ndo anafaaa. . . Kuna habari natoaga alafu sina uhakika nazo na huwa nawaambia kabisa kwa habari flani I’m not very sure Ila hii habari ya Wema naomba niwaambie I’m 100% sure!!!!! Hiii habari nna uhakika nayo kwa asilimia 100. It’s only a matter of time.
Na nna uhakika nayo sababu nimepewa na mtu mzima sanaaaaa. Ambae hata instagram yake kasaidiwa na wanawe kufungua. Ni mtu nnae mweshimu mnooo!! . . .
PS: Ila dah, nna mengi ya kuongea juu ya hili ila ntasuburi siku wakitangazwa kurudi CCM ndo ntaongea...