Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza msiwabomolee nyumbazao ndo walionipa kura nyingiHaya ndio maneno aliyoyaandika Mange katika ukurasa wake wa instagram
By mangekimambi_ Breaking News Wema Sepetu na Mama yake wanarudi CCM very soon.......Rudini nyuma kuna posti niliweka Wema alipokuwa Rwanda nikaandika kuna tatizo nimeliona. Nilipomuona tu Wema katua Rwanda tena amekacha tarehe ya Mahakama bila uwoga nilijua kuna mkono wa CCM pale na ndo maana nikaandika kuna tatizo, mostly ilikuwa ni Wema kwenda Rwanda ndo nilipojua kuna problem. Alieniletea habari ambae ni mtu mkubwa sanaaaa CCM kaniambia nyumba ya mama Wema inabomolewa kama wasiporudi wamepewa muda wajifikirie. Na notice ya kubomolewa nyumba wameshapewa.
That’s their family house. Ila pia kaniambia Mama Wema keshaamua kurudi sasa hivi anam convince Wema warudi, na ameendelea kwa kuniambia kuwa Wema pia keshaamua kurudi ila anaona aibu kuface jamiii.....Yani unaambiwa Mama Wema alipotajiwa nyuma yake kubomolewa fastaaaa akakubali kurudi CCM. Na kesi kaambiwa akirudi CCM itakwisha vizuri. Asiporudi haitokwisha ni kila siku mahakamani mpaka arudi CCM na anaweza kufungwa kama asiporudi CCM. So hapo ana mawili nyumba ya mamake na kesi yake...... . . .
Kilichobaki ni kutangaza tu!! So Watanzania kaeni sawa anytime Wema Sepetu na Mama yake wanatangazwa kurudi CCM. . . Oh yeah.
Wakirudi CCM Magufuli habomoi nyumba yao!! Na sio warudi Hivi Hivi wameambiwa lazma wamsifie na waseme wameona Chadema haifai yeye ndo anafaaa. . . Kuna habari natoaga alafu sina uhakika nazo na huwa nawaambia kabisa kwa habari flani I’m not very sure Ila hii habari ya Wema naomba niwaambie I’m 100% sure!!!!! Hiii habari nna uhakika nayo kwa asilimia 100. It’s only a matter of time.
Na nna uhakika nayo sababu nimepewa na mtu mzima sanaaaaa. Ambae hata instagram yake kasaidiwa na wanawe kufungua. Ni mtu nnae mweshimu mnooo!! . . .
PS: Ila dah, nna mengi ya kuongea juu ya hili ila ntasuburi siku wakitangazwa kurudi CCM ndo ntaongea...
Aliwahi kusema kwamba mh.hawezi kwenda Kenya, hadi siku ya tar.27 alishikilia msamamo wake kwamba haamini ,,na ikawa hivyo,so siku zote muda ni rafiki mzuri sana,,tusianze kumsimanga,muda ndio utamsimanga,let's waithuyu mange aache makiki ya kipumbavu ya kumuhusisha mheshimiwa rais na upumbavu wa mama wema
Mama wema saiz yake ni akina stive nyerere
Hiyo nyumba ya mama wema inabomolewa kwa lipi? Iko kwenye hifadh ya barabara au iko wapi?
Mange asitake kuzan kila mtu ni rofa wa kuamini kila upumbaavu anaoandika
Huu upuuz wake hauna nafas kwenye tanzania ya leo
Mtu huhama chama kwa mapenz yake mwenyewe waache kutafuta sababu za kipuuz puuz hapa
Mapicha picha....na mange simuelewi khaaa!Kwa nini?
Sikuwahi kufurahia ujio wake chadema!Ndio maana hajishughulishi na shughuli za chama wala vijana!Wema atarudi CCM nna 90% hii habari ya kweli la sivyo anafungwa
Kuporwa ushindi ndy tatizo utawala huu haundoki madarakani tenaWasihangaike kuwanunua hao watu wachache wengi tuko mitaani hatununuliki na wala hatufahamiki ila kwenye sanduku la kura ndo kwetu
Swala la ushindi haramu ni swala la muda tu.. Hata Mugabe alikuwa mkorofi hivyo hivyo
Udaku upi umechoshwa wewe ndy nyie maccm ndiyo siku roho yako itakapobanwa utamtamani hata mange akusemeeMange bhana yani hana kazi nyingine kazi ni udaku tu hivi angepitishwa na ccm ktk kura za maoni na kushinda 2015 angeongea hayo au kisa alikatwa jina lake jimbo la kinondoni ktk kura za maoni 2015?
Yeye anasema JPm mi mtu wa visasi je anayofanye yeye sio visasi?
Watanzania tumechoshwa na siasa za kiki mtaani vyuma vimekaza tumechoshwa na siasa waache waendelee na maisha yao na sisi na maisha yetu nje ya siasa.
Yanakuumiza nini si usisome lzma usome? Unawashwawashwa na nini?Huyu mange ndo jana kasema lile jengo la tanesco ni la lowasa na akadai kama lowasa akihamia ccm halitabomolewa na baadh ya wapuuz wakakubal na kupiga makofi
Huyu dada ashawaona watanzania hawana elimu hivyo chochote asemacho hukikubali na kumpigia makofi
'Da Mange' kasemaje kuhusu 'kuibiwa' kwenu kura kwenye Uchaguzi mdogo?Nawewe kumbe mmoja wao nyumbu mkubwa
Watanzania ni wanafki, wansshangaa biashara ya binadamu Libya wakati hata Tanzania biashara hiyo ipo? Watu wanajiuza na kununuliwa kama machangu.Kwa sababu da Mange kasema basi mimi nimekubali siwezi kumbishia da Mange kwakweli...
Wanaomchukia Mange wote ni followers wake, hadi mkuru anamfollow kwa fekero Id.Kumbe na wewe una tembelea page ya Mange?