Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

Status
Not open for further replies.

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Haya ndio maneno aliyoyaandika Mange katika ukurasa wake wa instagram

By mangekimambi_ Breaking News Wema Sepetu na Mama yake wanarudi CCM very soon.......Rudini nyuma kuna posti niliweka Wema alipokuwa Rwanda nikaandika kuna tatizo nimeliona. Nilipomuona tu Wema katua Rwanda tena amekacha tarehe ya Mahakama bila uwoga nilijua kuna mkono wa CCM pale na ndo maana nikaandika kuna tatizo, mostly ilikuwa ni Wema kwenda Rwanda ndo nilipojua kuna problem. Alieniletea habari ambae ni mtu mkubwa sanaaaa CCM kaniambia nyumba ya mama Wema inabomolewa kama wasiporudi wamepewa muda wajifikirie. Na notice ya kubomolewa nyumba wameshapewa.

That’s their family house. Ila pia kaniambia Mama Wema keshaamua kurudi sasa hivi anam convince Wema warudi, na ameendelea kwa kuniambia kuwa Wema pia keshaamua kurudi ila anaona aibu kuface jamiii.....Yani unaambiwa Mama Wema alipotajiwa nyuma yake kubomolewa fastaaaa akakubali kurudi CCM. Na kesi kaambiwa akirudi CCM itakwisha vizuri. Asiporudi haitokwisha ni kila siku mahakamani mpaka arudi CCM na anaweza kufungwa kama asiporudi CCM. So hapo ana mawili nyumba ya mamake na kesi yake...... . . .

Kilichobaki ni kutangaza tu!! So Watanzania kaeni sawa anytime Wema Sepetu na Mama yake wanatangazwa kurudi CCM. . . Oh yeah.

Wakirudi CCM Magufuli habomoi nyumba yao!! Na sio warudi Hivi Hivi wameambiwa lazma wamsifie na waseme wameona Chadema haifai yeye ndo anafaaa. . . Kuna habari natoaga alafu sina uhakika nazo na huwa nawaambia kabisa kwa habari flani I’m not very sure Ila hii habari ya Wema naomba niwaambie I’m 100% sure!!!!! Hiii habari nna uhakika nayo kwa asilimia 100. It’s only a matter of time.

Na nna uhakika nayo sababu nimepewa na mtu mzima sanaaaaa. Ambae hata instagram yake kasaidiwa na wanawe kufungua. Ni mtu nnae mweshimu mnooo!! . . .

PS: Ila dah, nna mengi ya kuongea juu ya hili ila ntasuburi siku wakitangazwa kurudi CCM ndo ntaongea...

======

UPDATES: 30 Nov 2017

Mama mzazi wa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, Miriam Sepetu amekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye na mwanawe wana mpango wa kurudi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).
 
Wasihangaike kuwanunua hao watu wachache wengi tuko mitaani hatununuliki na wala hatufahamiki ila kwenye sanduku la kura ndo kwetu

Swala la ushindi haramu ni swala la muda tu.. Hata Mugabe alikuwa mkorofi hivyo hivyo
 
Mange bhana yani hana kazi nyingine kazi ni udaku tu hivi angepitishwa na ccm ktk kura za maoni na kushinda 2015 angeongea hayo au kisa alikatwa jina lake jimbo la kinondoni ktk kura za maoni 2015?

Yeye anasema JPm mi mtu wa visasi je anayofanye yeye sio visasi?
Watanzania tumechoshwa na siasa za kiki mtaani vyuma vimekaza tumechoshwa na siasa waache waendelee na maisha yao na sisi na maisha yetu nje ya siasa.
 
CCM Huu woga wote huu wa nini?

Mmegundua nini kulazimisha watu kuingia ccm kwa masharti makali hivyoo.

Kwanini msifute upinzani.
 
Arudi asirudi hana impact yoyote yule! Chadema walimchukua kwa mbwewe wakidhani ndo mkombozi wa chama kumbe hollah!
 
huyu mange aache makiki ya kipumbavu ya kumuhusisha mheshimiwa rais na mama wema

Mama wema saiz yake ni akina stive nyerere

Hiyo nyumba ya mama wema inabomolewa kwa lipi? Iko kwenye hifadh ya barabara au iko wapi?

Mange asitake kuzan kila mtu ni rofa wa kuamini kila upumbaavu anaoandika

Huu upuuz wake hauna nafas kwenye tanzania ya leo

Mtu huhama chama kwa mapenz yake mwenyewe waache kutafuta sababu za kipuuz puuz hapa
 

Mange kuandika kuwa Wema anarudi Ccm ni kosa?
 
Huyu mange ndo jana kasema lile jengo la tanesco ni la lowasa na akadai kama lowasa akihamia ccm halitabomolewa na baadh ya wapuuz wakakubal na kupiga makofi

Huyu dada ashawaona watanzania hawana elimu hivyo chochote asemacho hukikubali na kumpigia makofi
 
Au na yeye mangi kimbambi ni msukuma? ili tujue kama ni kabila la visasi
 
hoja kuu ni sababu za kuivunja ... basi
 
Tz ya v-wonder,umasikini umepitiliza,ujinga usipime,maradhi ndiyo ya ajbu kabisaa,ubabe don't measure, masifa pomoni, uhalisia wa maisha dhidi ya kinachosemwa na viongozi ni negative siyo hata zero ni afadhali.

Just a matter of time everything will be reveled.
Siyo kweli watz. Wote ni wajinga kama viongozi wanavyojidanganya na kufarahisha nafsi zao,tuomeane uzima 2020 insha allah CCM hata watumie vifaru lazima out na siyo ombi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…