Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

Status
Not open for further replies.
andika ueleweke bas mkuu

Wewe unajua mama wema anaishi wap?

unataka kunambia tanzania nzima mpinzan mwenye nyumba ni mama wema pekee?

Au akili yako haina akili?
unafeli jamaa yangu...kwani mi nimekupinga wapi?
 
Kama unakuwa blackmailed to that extent,na huna namna ya kujiokoa,hakuna option nyingine zaid ya kurudi,
kama ni kweli yeye arudi tu,kwani akiwa ccm atakufa?,ha ha ha
 
Arudi asirudi hana impact yoyote yule! Chadema walimchukua kwa mbwewe wakidhani ndo mkombozi wa chama kumbe hollah!
Acha maneno ya shombo.
Wema kapokelewa Chadema kwa mashamsham ya juu.
Ukaribisho wa Kamanda Wema ulikuwa si mchezo. Hata Kamanda Mbowe aliweka uzito wote pale...tofauti na Nyalandu..ukaribisho wake haukufikia hata robo ya wa Wema [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wema , Mama Wema Na Mange . Na tusubiri hivyo Viwonder vya SAYONA tu maana hakuna tunalowaza zaidi ya hayo.

UZI WA KATIBA MPYA UMESINYAA HAKUNA ANAYESUMBUKA KUFANYA AMSHA AMSHA KAMA TUNGEJITAMBUA VIZURI SAA HIZI FUJO KELELE NA UDAKU WOTE TUNGEUHAMISHIA HUKU KWENYE KUDAI KATIBA MPYA. WATAWALA WA AWAMU HII WANAFUATILIA NA KUOGOPA SOCIAL MEDIA KULIKO AWAMU ZOTE . ANGALAU INGESAIDIA KUPAZA SAUTI ZETU

ONENI WENYEWE HUU NI UZI MMOJA TU KATIKA MINGI ILIYOGUSIA KATIBA MPYA YOTE IMEFUBAA TU . Ukileta hizo takataka za kina Mange uzi unafika page 300 kabla ya alasiri. TUBADILIKE KAMA KWELI TUMECHOKA UJINGA UNAOENDELEA

Tuachane na magufuli tudai katiba mpya.

Tuachane na magufuli tudai katiba mpya.
 
Mange angekuwa mwanaume angetembea na wafuasi wake wote wa jinsia zote
 
Kumbe huwa unasoma post zake?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila kitu na jukwaa lake mkuu. Huu uzi ningeuweka jukwaa la katiba ungekua na haki ya kulalamika ila uzi upo celebrity forum sion sababu ya kulalamikia tunachojadili hapa. Wanaotaka katiba mpya wataufata wenyewe huko ulipo
 
hii single ya hamahama mbona imeishachuja??washauri wa magu waje na single nyingine. hata ile ya makinikia imebuma. na ile ya ushindi kata 42 haijambamba kivile. ndo sababu magu ana mafrastration
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…