Mange atoswa na Vodacom

haaa nakumbuka alikua shoga na Joyce kiria
baada ya kuwekwaga mahabusu ye si alikua mbele kumtoa
wee hiyo siku akampa makavu live tena Ig.. akili yake duh
Teh Teh..... huyu naamini dish lilishayumba.....
 
huyu mwanamke mwongi sana.
Akawaongopee hao hao misukule wake.
Anajua kuwachota sana wale wanao msoma kule na wakimpiga anawablock...! Akitokea mtu wa kumpeleka kumpima kichwa atakuwa amemsaidia kabisa...na
atakuwa amefanya zaidi ya udhamini...!
 
Hakuna kampuni itakayoendelea kudhamini matusi.
Apambane kwa hoja aache kutukana kila anayeenda kinyume naye.
Naamini hii ni aina flani ya ukichaa.
 

Dah ccm ni ile ile ,ila wakati anawapigia kampeni ilikua sawa tu eeh ?? Acha aisome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…