mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Ila alipomsakama January ndio akatiwa obay ,kutoka hapo akawa kampeni manager
Alitaka Ubunge akakimbia
Lazima ni njia ya kuelekea kwake 2020 ili ajaribu tena
Alisakama hata Rais ma wanae n.k.
Ila alikionja mashabiki eake walimtema kumusaidia hata kuandamana waonekane sura .hahaaaaaa