Mange atoswa na Vodacom

Mange atoswa na Vodacom

Ila alipomsakama January ndio akatiwa obay ,kutoka hapo akawa kampeni manager

Alitaka Ubunge akakimbia

Lazima ni njia ya kuelekea kwake 2020 ili ajaribu tena

Alisakama hata Rais ma wanae n.k.

Ila alikionja mashabiki eake walimtema kumusaidia hata kuandamana waonekane sura .hahaaaaaa
 
Mange tatizo kitendo chake cha kuuza papuchi nje ndicho kinamfanya awe na akili kama mtoto aliyezaliwa chooni

Thinking capacity yake ni ya ina mshikeli ila amevuna alichopanda..lazima aisome no...
 
Alitaka Ubunge akakimbia

Lazima ni njia ya kuelekea kwake 2020 ili ajaribu tena

Alisakama hata Rais ma wanae n.k.

Ila alikionja mashabiki eake walimtema kumusaidia hata kuandamana waonekane sura .hahaaaaaa

Ndio tatizo la Jk ,alifanya swala la uongozi lionekane kama sio kitu cha maana ,kisa Mange kawa tu admin wa blog na whatsapp groups ana sifa zote ,uongozi ni zaidi ya hayo,
 
Alitaka Ubunge akakimbia

Lazima ni njia ya kuelekea kwake 2020 ili ajaribu tena

Alisakama hata Rais ma wanae n.k.

Ila alikionja mashabiki eake walimtema kumusaidia hata kuandamana waonekane sura .hahaaaaaa[/uzufgg
 
''The bad new'' halafu si regreat!!! hapa tu pana tatizo.
 
safi sana na akome! ngekua hacker ningeifutilia mbali blog yake au iwe ya Porn website kabisa
 
Safi sana Vodacom kwa kukitosa kibibi kikomavu maana kilikuwa kunaandika Mashudu tu Bora kitakosa hata bundle za kuingia insta labda afaziliwe na mzungu pori.
 
Mange anasema uongo tuu kama ni hivyo hata Jf wasingepata matangazo maana hata huku Lowasa anapondwa tuu..Tatizo la Mange ni matusi tuu na pengine ni kutokana na dish lake kuyumba! Kampuni yeyote kuendelea kumdhamini Mange ni sawa na kudhamini porn movies....!

Mange badala ya kuongea iliyo kweli yeye anatukana watu na sio Lowasa tuu yeye ametukana watu wengi sana!

Hivi ni visingizio tuu...

Kwa mara ya kwanza umeongea pointi hahahahahahahah (joke)...

But huyu bibi mange ni feki sana, apeleke maisha yake ya kuigiza huko..
 
Si aombe aliokuwa anawafagilia wampe udhamini kwa miaka mingine 5 AMA NENE!
 
Namuelewa sana Mange Kimambi hutapata Wadhamini wakubwa kuliko hao."Some people are so poor,all they have is money".Endelea kupiga kazi Mange Kimambi.#Viva
 
Sijawahi ona mwanamke mshenzi kama Mange. Mwanzoni nilimuona kama ana akili kumbe nilikuwa nashabikia ka..ba. Ligomvi sana hili lijanamke. sijui limezaliwaje. Lakini kinachomsumbua zaidi ni wivu.

Huyo ana rana.... kiujumla familia nzima ina lana ya mzee kimambi
 
Bora walivyomtosa, kwanza keshachafua sana image yao, kwa miaka 5 anachafua wao wamekaa kimya.Domo lake kubwa ndio limemponza wala sio hao Lowassaz na Rostam aziz, mwanamke anapenda kujikweza huyu sijapata kuona.Ila huu mwaka uishe tu, umekuwa mwaka mbaya sana kwa Mange
 
Bora walivyomtosa, kwanza keshachafua sana image yao, kwa miaka 5 anachafua wao wamekaa kimya.Domo lake kubwa ndio limemponza wala sio hao Lowassaz na Rostam aziz, mwanamke anapenda kujikweza huyu sijapata kuona.Ila huu mwaka uishe tu, umekuwa mwaka mbaya sana kwa Mange:angry:
 
Sifa za kijinga zimemponza ndo mana alikua anajiona si muoga hao wanao musupport wao hawana shida. Akaoge njia panda ana mkosi wa kaniki
 
Back
Top Bottom