Ila alipomsakama January ndio akatiwa obay ,kutoka hapo akawa kampeni manager
Na mimi nasubiri jibu lako sioni anayejali.
Alitaka Ubunge akakimbia
Lazima ni njia ya kuelekea kwake 2020 ili ajaribu tena
Alisakama hata Rais ma wanae n.k.
Ila alikionja mashabiki eake walimtema kumusaidia hata kuandamana waonekane sura .hahaaaaaa
Alitaka Ubunge akakimbia
Lazima ni njia ya kuelekea kwake 2020 ili ajaribu tena
Alisakama hata Rais ma wanae n.k.
Ila alikionja mashabiki eake walimtema kumusaidia hata kuandamana waonekane sura .hahaaaaaa[/uzufgg
Ndo nani huyu?
Mange anasema uongo tuu kama ni hivyo hata Jf wasingepata matangazo maana hata huku Lowasa anapondwa tuu..Tatizo la Mange ni matusi tuu na pengine ni kutokana na dish lake kuyumba! Kampuni yeyote kuendelea kumdhamini Mange ni sawa na kudhamini porn movies....!
Mange badala ya kuongea iliyo kweli yeye anatukana watu na sio Lowasa tuu yeye ametukana watu wengi sana!
Hivi ni visingizio tuu...
Sijawahi ona mwanamke mshenzi kama Mange. Mwanzoni nilimuona kama ana akili kumbe nilikuwa nashabikia ka..ba. Ligomvi sana hili lijanamke. sijui limezaliwaje. Lakini kinachomsumbua zaidi ni wivu.