Alikhwa kakalia kumsema vibaya lowassa,si sawa na babake?
Au anafikiri watu hawajui au hawana story ya kilichomkutaga naye babake wakati wa uhai wake?
Alitaka watu wayafukue wayaaanike walichomfanyia?
Yani kiss peasa ndiyo utoe dhihaka kwa mzee Lowassa...
She's a low life na Ana stress za huyo mzungu wake na kwanza yasemekana ni 'kipunga'..