Mange atoswa na Vodacom

Mange atoswa na Vodacom

alafu anadhan matusi yake yatamfanya maguful amjue kwa jinsi maguful alivyoanza ha ha ha ha aandike maumiv jamaa hachek na kima yoyote! sasa uko nje cjui atakua anakutana na nani maana wafanyakaz wa serikali hawaj tena na emirates as a result wamefuta flight mojawapo ya bongo!!!

mitusi kama kazaliwa choon pumbav sana! actually ile mitusi yeye ndo anaita kampen? is she serious? na tabia ya mitusi alikua nayo kwa kila mtu maana alikua anatukana watu hovyo hovyo tu
 
Alikhwa kakalia kumsema vibaya lowassa,si sawa na babake?
Au anafikiri watu hawajui au hawana story ya kilichomkutaga naye babake wakati wa uhai wake?
Alitaka watu wayafukue wayaaanike walichomfanyia?
Yani kiss peasa ndiyo utoe dhihaka kwa mzee Lowassa...
She's a low life na Ana stress za huyo mzungu wake na kwanza yasemekana ni 'kipunga'..
 
Back
Top Bottom