ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mwana dada na mwanaharakati Mange Kimambi amewaambia Viongozi wa Chadema kuwa wanapotoka kupiga miziki na kucheza wakati wa mikutano
Hii haina tija ukizingatia wananchi wana majeraha ya kupoteza wapendwa wao, majeraha, hujuma katika uchaguzi , ufisadi n. K
Kucheza mziki ni kuingia kwenye mfumo wa CCM na kuwasahaulisha wananchi matatizo yaliyowapata
Amewashauri pia kuwa wanaleta mashuhuda wa mauaji ya oktoba 29, waathirika, na waliopoteza wapendwa wao kutoa shuhuda zao