Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

Umenena kweli mleta thread. Vijana wanatumiwa kama mradi ila wao bahati mbaya hawajitambui
 
Wakati mwanae anagombea kuteuliwa je Mgeja hakuona kama chama ni cha kifamilia?

Na kaondoka baada ya mwanae kupigwa chini. Unajua hawa vijana macho wanayo lakini wanashindwa kuona, masikio wanayo lkn wanashindwa kusiki na akili wanazo lakini wanajifanya machizi. Mtoto akililia wembe mpe.
 
She is schizophrenic, I besiege you, don't waste time discussing her.
 
dah, nimengua hii thread wakati nikibishana na jamaa hapa anasema ati wake wa wazungu wote marinda yameshatatuliwa, inasemekana wazungu wana mtindo mbaya sana kwa dada zetu hawawezi kuridhika na mlango mmoja ukiolewa na mzungu tu jua lazima akuchomeke kwenye matope...tumebishana sana nikaamua kuachana naye tu. dada zetu wengi unajua wameharibiwa utawaona wazuri wana magari, wana blogs, wamependeza uso lakini marinda hawana masikini...hahaha

well, huyo aliyetoa hio issue instagram, ni mtanzania?wow, namshauri aende shule, tusimlaumu sana, sio kosa lake, itafika kipindi ataelewa tu.

Siyo shule! anahitaji washauri waliobobea
 
i pity you, my rash assessment of ur state of mind reveals that, u're a pyschiatric case from schizophrenia complicated with panic disorder. You need immediate attention & high dose of largactil.

Ndo umeenda kujifunza hizo medical termilogy ili uje kufurahisha genge. Bahati mbaya vichaa kama wewe huwa hawajitambui, ila ukiwachanganya na vichaa wenzao watakwambia hawa wenzangu machizi, kumbe yeye ndo chizi. Ujumbe umefika, na mimi natoa facts tu, sifurahishi watu.
 
Kama anayoyasema ni sahihi Huyu mwehu,sasa kuna haja gani ya kuwa na demokrasia,Si tuvunje demokrasia tuanze mambo ya ufalme tu,vyama vyote vifutwe
 
Kumbe akili anazo sana anajiwehushaga tu. kasema ukweli mtupu
 
"Watanzania wasipopata mabadiliko ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM " by J. NYERERE after all asitufundishe uoga hamna anaejua ya mbele na woga wako ndo umaskini wako
Mwinyi aliingia msafi akatoka Mchafu, Mkapa aliitwa Mr Clean katoka Mchafu, JK tulimwita hadi chaguo LA Mungu kilichotokea tu najuta.....
Ni bora tuchague Mchafu anaweza toka msafi

Mnamtumia Mwl.vibaya sana. Nyerere hakumaanisha mtoa rushwa na fisadi Lowassa akinyimwa nafasi ya kugombea ccm ahamie Chadema.
 
Hatukubali kuburuzwa kwa propaganda za mihemuko. Huyu pamoja na yote ni mchafu na mgonjwa. Amekatwa kwa sababu hiyo bado anataka tu. Ni ya kweli ya familia hii kwa watanzania haipo. Muogopeni kama ukoma
 
Mnamtumia Mwl.vibaya sana. Nyerere hakumaanisha mtoa rushwa na fisadi Lowassa akinyimwa nafasi ya kugombea ccm ahamie Chadema.

Watoa rushwa na mafisadi kama kina Yona wako gerezani kwa nini pia msimshtaki "fisadi" Lowassa kwa udhaifu huu ndo mana tunataka mtupishe
 
Hatukubali kuburuzwa kwa propaganda za mihemuko. Huyu pamoja na yote ni mchafu na mgonjwa. Amekatwa kwa sababu hiyo bado anataka tu. Ni ya kweli ya familia hii kwa watanzania haipo. Muogopeni kama ukoma

Hao waliongia wasafi wametoka Wasafi?? Kwa minajili hiyo basi CCM ni bwawa LA matope hata msafi anachafuka na UKAWA ni mto wa maji masafi Mchafu anatakata kwaatu
 
CCM jipeni moyo ila huu mwisho wenu huyo fisadi mnaedai sijui ni mchafu mpelekeni mahakamani kama mna evidence la sivyo shut up your bowls!!

Ushauri: anzeni kuweka savings maana October mnakabidhi ofisi mlitulia sana pesa zetu mkafanya chama cha kifamilia nyambafff
 
Back
Top Bottom