Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

What made lowasa to shift? Ni baada ya kuujumiwa. Hata we mangi pmja na wengine hukiona sehemu hawakutaki na hawakukubali en a analysis appoint what would you do Kama sio kwenda kwa wanaokuamini
 
Yote ya kweli. Sina kawaida ya kusupport kauli za huyu dada ila kwa hili, amezungumza kweli tupu.
 
hivi huwezi hata kuconnect dots?? tumia basi akili usitumie saburi kufikiri bwana. Uandishi wangu na wa Mange unafanana? endelea kuota.

nakutetea japo sikujui huwezi kuwa mange aisee...yule mwanamke ana chronic emotional disorder if there is such a disease kwakweli he! mtu gani yule kigeugeu kinyonga anasubiri
 
Ila ukweli umefika kwani kuna la uongo kazungumza hapo

tatizo ukiongea chochote hata kiwe na ukweli vipi kikipinga chadema wewe utaitwa huna akili na majina yote mabaya! hao waliohamia chadema akiwemo lowassa wamekuja huko baada ya kukatwa! kwanini hawakuja tangu mwanzo?
 
nakutetea japo sikujui huwezi kuwa mange aisee...yule mwanamke ana chronic emotional disorder if there is such a disease kwakweli he! mtu gani yule kigeugeu kinyonga anasubiri

anabadilika kama sijui nini vile. ni wa kupuuzwa tu kwa ishu za maana kama hizi
 
Hahahaha!
Magamba mtaipenda na kwa Habari yenu huyo Mange mnaomsapoti kwa kukandia CHADEMA na Lowassa tayari tumeshamnunua tena kwa mkopo usio na interest wala limited time kwa sasa ni mwna UKAWA damu na atawanyoosha mpaka mtambue hii ndio nchi ya Lowassa.
 
tatizo ukiongea chochote hata kiwe na ukweli vipi kikipinga chadema wewe utaitwa huna akili na majina yote mabaya! hao waliohamia chadema akiwemo lowassa wamekuja huko baada ya kukatwa! kwanini hawakuja tangu mwanzo?
Hata huyo Mange wenu tayari tumeshamnunua saivi ni mwana UKAWA Mtafute atakuambia.
 
tatizo ukiongea chochote hata kiwe na ukweli vipi kikipinga chadema wewe utaitwa huna akili na majina yote mabaya! hao waliohamia chadema akiwemo lowassa wamekuja huko baada ya kukatwa! kwanini hawakuja tangu mwanzo?

Acha uongo wewe,unavyosema hao waliohamia chadema wamekatwa huko CCM ni wangapi hao?...JE MWENYEKITI WA WENYEVITI CCM MKOA WA SINGIDA ALIKATWA??...MWENYEKITI WA CCM VIJANA MKOA WA KIKIMANJARO ALIKATWA???...JE MWENYEKITI WA CCM MKOA WA ARUSHA NA KATIBU WAKE WALIKATWA????...wewe endelea kuota na kumsikiliza yule #NAPE WENU ANAYEWAAMBIA ETI MSIWE NA WASI NA WOTE WALIOTOKA HUKO KWENU CCM NA KUHAMIA UKAWA WALIKATWA...TEH! TEH! TEH!
 
Lowassa alikatwa
 
Uoga ni umaskini

Nahitaji mabadiliko nikienda ofisi za umma au hospitali nipate Huduma bila rushwa,,,nahitaj mabadiko katika elimu yetu watoto wasikae chin wakalie madawati mbona nchi yangu inarasilimali za kutosha

Nahitaji viwanda vilivyokufa vifufuliwe ili tutumie malighafi zetu kutengeneza bidhaa*##kale kahistoria ka we consume what we don't produce and we produce what we don't consume kafe""*##

Haya yote ninauhakika wa kuyapata nje ya ccm

Tukutane October.
TEAMmabadilikodaima#
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom