magufuri familia ya nan alie tangulia
Hana lolote huyo ni Le NdumilakuwilizzzzHuyu haaminiki anajikomba tu
Wakati mwanae anagombea kuteuliwa je Mgeja hakuona kama chama ni cha kifamilia?
Wakati mwanae anagombea kuteuliwa je Mgeja hakuona kama chama ni cha kifamilia?
Umenena kweli mleta thread. Vijana wanatumiwa kama mradi ila wao bahati mbaya hawajitambui
dah, nimengua hii thread wakati nikibishana na jamaa hapa anasema ati wake wa wazungu wote marinda yameshatatuliwa, inasemekana wazungu wana mtindo mbaya sana kwa dada zetu hawawezi kuridhika na mlango mmoja ukiolewa na mzungu tu jua lazima akuchomeke kwenye matope...tumebishana sana nikaamua kuachana naye tu. dada zetu wengi unajua wameharibiwa utawaona wazuri wana magari, wana blogs, wamependeza uso lakini marinda hawana masikini...hahaha
well, huyo aliyetoa hio issue instagram, ni mtanzania?wow, namshauri aende shule, tusimlaumu sana, sio kosa lake, itafika kipindi ataelewa tu.
i pity you, my rash assessment of ur state of mind reveals that, u're a pyschiatric case from schizophrenia complicated with panic disorder. You need immediate attention & high dose of largactil.
bora chama cha makabila mawili kuliko chama cha familia kama mgeja na wenzake walivyosema. chama cha wanamsoga
Kaongea jambo la maana sana
"Watanzania wasipopata mabadiliko ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM " by J. NYERERE after all asitufundishe uoga hamna anaejua ya mbele na woga wako ndo umaskini wako
Mwinyi aliingia msafi akatoka Mchafu, Mkapa aliitwa Mr Clean katoka Mchafu, JK tulimwita hadi chaguo LA Mungu kilichotokea tu najuta.....
Ni bora tuchague Mchafu anaweza toka msafi

Mnamtumia Mwl.vibaya sana. Nyerere hakumaanisha mtoa rushwa na fisadi Lowassa akinyimwa nafasi ya kugombea ccm ahamie Chadema.
Hatukubali kuburuzwa kwa propaganda za mihemuko. Huyu pamoja na yote ni mchafu na mgonjwa. Amekatwa kwa sababu hiyo bado anataka tu. Ni ya kweli ya familia hii kwa watanzania haipo. Muogopeni kama ukoma