Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

Namtunuku PHD ya heshima Mange Kimambi,kwakueleza ukweli mtupu,kwa kukataa kua Dogmatism ,kupelekwa pelekwa ukiuliza eti mabadiliko, mabadiliko ya kubadilishana vyama eti,MABADILIKO YA KWELI KWA SASA YAPO NDANI YA CCM,SIO NJE YA CCM
##AHSANTE DR KIMAMBI,tumekutunuku PHD ya ukweli ndani ya JF
 
Walisema huyu Dada mgonjwa! nimekubali,research yake Hataji Zambia, Malawi, Kenya etc kakomaa na Libya! ndo maana wamemfanya kama msukule wanataka kumpeleka Segerea,ana stress huyo Mange
 
Yani CCM WAMEKWISHA MAANA HAMNA ATAKAYEELEWA CHOCHOTE WATAKACHOKISEMA KWASASA JUU YA "EDO LOWASSA"...maana walitakiwa kuyasema na kuyakemea vilivyo pindi lowassa yupo CCM nasio baada ya KUHAMIA UKAWA NDO WAYASEME HAYO MAANA TUNAONA WAZI WAMENUNULIWA NA KUTUMWA,SIO SIRI NA MFANO MZURI TUNAO KWA "WEMA SEPETU"...TULIMWONA KWENYE HAFLA YA RAIS AKIWA NA MGOMBEA WAO WA CCM "MAGUFULI" KUWAAGA WASANII ALAFU JUZI TU KAANZA KUWASHAWISHI WATU INSTAGRAM KUMCHAGUA MAGUFULI...SASA TUMWELEWAJE KAMA SIO ANATAFUTA UKUU WA WILAYA KWA KUTUMIKA BAADA YA KUKOSA UBUNGE?..WASANII WENZIE WENYE AKILI KUBWA BAADA YA KUTOKA KWENYE HAFLA ILE WAKAACHANA NA UPUUZI WA CCM PALEPALE NA NITAWASHANGAA KAMA WATAKUJA FANYA HUO UPUUZI HUKO MBELENI,KIZURI UKU MITAANI WATU WANAELEWA MUCHEZO WOTE NA UWAAMBII KITU KWA LOWASSA KILA NINAPOKAA NAONI LOWASSAAA TU UKU WANANUNUA VILE VISHADA VYENYE PICHA YA "LOWASSA" NA "JUMA DUNI" KWA WINGI MAANA SAIVI KILA NINAYEPISHANA NAE KAKIVAA SHINGONI...NARUDIA TENA CCM MMEKWISHA HAKUNA NAMNA TENA!!!
 

Hahaahaaa!..KWELI MMEKWISHA AISEE MNATAFUTA PAKUSHIKA SIO SIRI...HIVI MNAMUAMINI HUYO KIGEUGEU ANAYEPIGIA PROMO CCM KIPINDI HIKI BAADA YA KUNUNULIWA?...MAANA ALIKUWA ANAWAKANDIA HUYO...LEO ANAUNGA MKONO CCM NA NYIE MNAMUONA LULU SIO...TUMWELEWAJE SASA??
 
Mkijadili upuuzi na nyie mtaonekana wapuuzi.
Acheni abishane huko huko insta. Huku sio size yake.
Mnampa airtime sana, mmefanya mpaka nikatafuta huyo Mange ndio nani.
 

hivi umesahau CHADEMA walikua wanamuita LOWASA fisadi na sasa wanasemaje
 
hivi umesahau CHADEMA walikua wanamuita LOWASA fisadi na sasa wanasemaje

Sasa mkuu si bora ata CHADEMA walikuwa wanamwita tuu jamaa fisadi na UKUMBUKE CHADEMA WALIKUWA WANAMTUHUMU NASIO KWAMBA WANA USHAHIDI...NA KAWAIDA YA TUHUMA ZINAWEZA KUWA KWELI AU SI ZAKWELI,KULIKO HUYO AMBAYE TUNA USHAHIDI WA MANENO YAKE ALIYOTYPE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE...HIVYO HATUWEZI KUMUELEWA NA KUMWAMINI TENA MAANA NI KIGEUGEU...NA INAFAHAMIKA NI MWENDELEZO WENU ULEULE WA KUWANUNUA NA KUWATUMIA WATU WENYE USHAWISHI MKUBWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KUWASHAWISHI WATANZANIA KAMA NILIVYOTOA MFANO KWA "WEMA SEPETU".
 

What facts???? Tokea lini blaah, blaah zimekuwa facts. Hayo ni maoni (opinion) yako na sio facts. Hakuna anayeitaji kufurahishwa naye kwa kuwa hauna cha kumfurahisha yoyote.
 

Fact,fact👆👆👆👆👆👆👆👆👆Fact kabisaaaaa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Great Thinker at work!
 
Ila ukweli umefika kwani kuna la uongo kazungumza hapo
She is quite perfect hata kama mtam"crash" kama wewe ni great thinker lazima utawaza haya kabla ya kufanya maamuzi. Hili si jambo la mahaba niue.
 
Just a bunch of bullshit.

And from a self-avowed CCM fan-girl, what she wrote is par for the course!

Fear mongering is all [CCM] they have left because they have nothing new to offer.

The same 'ol party, the same 'ol policies, expect nothing new but more of the same [and that is incompetence, ineptitude, grinding poverty, corruption, horrible social services, unreliable electricity, undependable water service, atrocious healthcare, awful education, etc.].

To elect CCM [and I don't think they would win in an election that is free and fair] and to expect progress is akin to insanity.

That is, doing the same thing over and over again and expect to get different results.
 
​Ila wazungu ni noma wanawatumia dada zetu vibaya huwa hawabakishi tundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…