kelvin complex
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 607
- 584
hivi huwezi hata kuconnect dots?? tumia basi akili usitumie saburi kufikiri bwana. Uandishi wangu na wa Mange unafanana? endelea kuota.
Ila ukweli umefika kwani kuna la uongo kazungumza hapo
nakutetea japo sikujui huwezi kuwa mange aisee...yule mwanamke ana chronic emotional disorder if there is such a disease kwakweli he! mtu gani yule kigeugeu kinyonga anasubiri
Hata huyo Mange wenu tayari tumeshamnunua saivi ni mwana UKAWA Mtafute atakuambia.tatizo ukiongea chochote hata kiwe na ukweli vipi kikipinga chadema wewe utaitwa huna akili na majina yote mabaya! hao waliohamia chadema akiwemo lowassa wamekuja huko baada ya kukatwa! kwanini hawakuja tangu mwanzo?
tatizo ukiongea chochote hata kiwe na ukweli vipi kikipinga chadema wewe utaitwa huna akili na majina yote mabaya! hao waliohamia chadema akiwemo lowassa wamekuja huko baada ya kukatwa! kwanini hawakuja tangu mwanzo?
Acha uongo wewe,unavyosema hao waliohamia chadema wamekatwa huko CCM ni wangapi hao?...JE MWENYEKITI WA WENYEVITI CCM MKOA WA SINGIDA ALIKATWA??...MWENYEKITI WA CCM VIJANA MKOA WA KIKIMANJARO ALIKATWA???...JE MWENYEKITI WA CCM MKOA WA ARUSHA NA KATIBU WAKE WALIKATWA????...wewe endelea kuota na kumsikiliza yule #NAPE WENU ANAYEWAAMBIA ETI MSIWE NA WASI NA WOTE WALIOTOKA HUKO KWENU CCM NA KUHAMIA UKAWA WALIKATWA...TEH! TEH! TEH!