Mange Kimambi aendelea kutesa na kufunika instagram

Mange Kimambi aendelea kutesa na kufunika instagram

Status
Not open for further replies.
Ulimuamini aliposema kwa mbwembwe kuwa Hoyce Temu kafukuzwa kazi??!! Kumbe mdada wa watu bado muajiriwa wa UN!

Ulienda pale UN ukamkuta Hoyce au uneridhika na utetezi wake instagram? Vipi ndoa ya mdogo wake Rachel ilifanikiwa baada ya Mange kubumbulisha yule baba ni mme wa mtu?
 
Mange kwa uchambuzi sio mbaya sema anaroho mbaya yule mbinafsi hatarii akifanikiwa tuu ni adui yaani watu wote aliowatukana wako mbali kimaisha hiyo ndo shida ya madam matonya tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nampenda mnooo mange but matusi yake kwa watu kama Zari ndo yalinichefua...halaf huyu manzi Ana wivuuu na uteam wa kifalafala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulienda pale UN ukamkuta Hoyce au uneridhika na utetezi wake instagram? Vipi ndoa ya mdogo wake Rachel ilifanikiwa baada ya Mange kubumbulisha yule baba ni mme wa mtu?
Na kwako nina swali....vipi kuhusu nyumba diamond aliyomnunulia Zari Mange si alisema haijanunuliwa? Na kuhusu kifo cha Ivan si alisema ni uongo and Mali za Ivan si alisema sijui zari anagombania sijui upuuzi gan.That lazy woman can't mind her cheap business.Rubbish. ..Nilikuwaga namkubali but chuki zake khaaaaa ni another level..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Mange ni chuki na wivu. Habari zake nyingi ni ya visasi. Mange anapenda maisha mazuri kwa sasa yupo hoi basi ni kasheshe.
Zamani nilikuwa namkubali Lkn nilivyokuja kujua weakness zake, nilimpotezea.
Muongo sana
 
Namkubali mange. Alafu nina wasiawasi anasaidiwa na Mshana au mzizimkavu. Haters wake wote wanapotea katika mazingira ya kutatanisha mf. KICHWA PANZI, KIPAZA SAUTI etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom