MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,760
hua naskiaga skiaga tu jaman mnitoe ushamba HIYO MANGE NI KITU GANI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila aache tabia ya kumchukia Mama Tiffa
Utamu wa dushe umemmaliza akili nadhani
rehema kuwa mpole kidogo basi
Siku izi umeacha kunywa yale mafuta ya kondom.Malkia dadake na bashite
Bado anaendelea kutesa na kufunika instagram
Kutesa kwa zamu hii zamu ya mange kimambi
Namkubali sana anavyowarusha roho wale wa upande wa pili
Mange ametufumbua macho wengi sana ambao tulikua hatujui yafanyayo hapa tz
Watu wanamuelewa sana mange
Binafsi kwangu ndo kila kitu kinachonipeleka instagram ni yeye tu
Huyu dada mpaka nikahisi yupo CIA au FBI maana si kwa data zile
Team mange forever sasa lete fyokofyoko zako kwa mange uone tukavyotifua tifu na moto wako wa polepole maji makubwa utakua
Wamemshindwa mabashite's jeshi la mtu mmoja
Haki mange nakupendaga ww
Viva mange
NB😛ovu ruksa ila lisiwe la sabuni ya mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange ndiyo alianza kumchokonoa Zari Enzi zile ana blog ya U turn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alivyoanza mahusiano na Dai ndiyo akaanza kumchokonoa Zari alimkalia kimya Sana Mange,alikuja kumpa bomu moja tu alivyoachika na mzungu Mange aliweweseka,na hata Sasa Zari wala Hana mpango naye,ye Mange Mara nyingi ndo anahangaika na Dai na Zari.Kabla hajawa na Diamond?
Km ambavyo mm sikupendi wewe na Ccm
mtu asiye jielewa ndo anamuelewa mange anamuita zari bibi hajioni yeye ana zeeka homeless na tanzania hawezi kuja kabaki kuomba ombaNilikua nampenda mnooo mange but matusi yake kwa watu kama Zari ndo yalinichefua...halaf huyu manzi Ana wivuuu na uteam wa kifalafala
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...watu wana maneno sana aiseehahaha nimecheka sana hapo kwenye povu ruksa ila lisiwe la sabuni ya mkopo.
angeliaje wakati hakutaka haribu make up na Inta picha zake zingetokaje
nenda kamshauri kwenye page yake insta uone moto hahahahaHata mie namkubali sana tatizo lake ni kukaa uchi akijirekebisha kwa hilo atakubalika sana maelezo yake yanaharibiwa na kupiga picha akiwa na chupi
Sent using Jamii Forums mobile app