Mange Kimambi aendelea kutesa na kufunika instagram

Mange Kimambi aendelea kutesa na kufunika instagram

Status
Not open for further replies.
Malkia dadake na bashite
Bado anaendelea kutesa na kufunika instagram
Kutesa kwa zamu hii zamu ya mange kimambi
Namkubali sana anavyowarusha roho wale wa upande wa pili
Mange ametufumbua macho wengi sana ambao tulikua hatujui yafanyayo hapa tz
Watu wanamuelewa sana mange
Binafsi kwangu ndo kila kitu kinachonipeleka instagram ni yeye tu
Huyu dada mpaka nikahisi yupo CIA au FBI maana si kwa data zile


Team mange forever sasa lete fyokofyoko zako kwa mange uone tukavyotifua tifu na moto wako wa polepole maji makubwa utakua
Wamemshindwa mabashite's jeshi la mtu mmoja

Haki mange nakupendaga ww

Viva mange

NB😛ovu ruksa ila lisiwe la sabuni ya mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku izi umeacha kunywa yale mafuta ya kondom.
 
mi naona kama hana hajamzuia tembo kunywA maji,,,coz kuna ma hackerZ kibao tu wangetumwa kumzima bt they keep going and ignor her
 
haki namkubali sana MANGE KIMAMBI yan nikiwa na stress nkienda kwake ntacheka, serikali itanitia huzuni......namoenda kwakweli
 
Dadake daudi aache wivu na kumchukia zari anaboa au ndio kiki za kutelezea.
 
Hata mie namkubali sana tatizo lake ni kukaa uchi akijirekebisha kwa hilo atakubalika sana maelezo yake yanaharibiwa na kupiga picha akiwa na chupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom