Ulimuamini aliposema kwa mbwembwe kuwa Hoyce Temu kafukuzwa kazi??!! Kumbe mdada wa watu bado muajiriwa wa UN!
Humjui yule mpare
Dah cha umbea warumi sijui yu wapi nmemmissNje ya topic ,hivi Warumi yupo wapi?
Jinsia yako tafadhali
Asante..kuna watu wanashangaza mchana hajui atakula mboga gan anasubiri kuona machozi ya Zari hahaUtakufa nacho kijiba cha roho
Msiba wa mama na mume wake uchungu ukushike wewe[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] watu wengne bwana...kwani yeye anakupenda...? By the way machozi yake yanakulipia kodi? ...Next time dont place your nose where it doesn't belong maaaa
Mie nimebaki njia panda, mwandishi ni Mwanaume au mwanamke!!? Maana Jina na picha ni vya Mwanaume ila uandishi umekaa kimwanamke... Anyway hayanihusu maana hata DAB mule mule
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nampenda mnooo mange but matusi yake kwa watu kama Zari ndo yalinichefua...halaf huyu manzi Ana wivuuu na uteam wa kifalafalaMange kwa uchambuzi sio mbaya sema anaroho mbaya yule mbinafsi hatarii akifanikiwa tuu ni adui yaani watu wote aliowatukana wako mbali kimaisha hiyo ndo shida ya madam matonya tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako nina swali....vipi kuhusu nyumba diamond aliyomnunulia Zari Mange si alisema haijanunuliwa? Na kuhusu kifo cha Ivan si alisema ni uongo and Mali za Ivan si alisema sijui zari anagombania sijui upuuzi gan.That lazy woman can't mind her cheap business.Rubbish. ..Nilikuwaga namkubali but chuki zake khaaaaa ni another level..Ulienda pale UN ukamkuta Hoyce au uneridhika na utetezi wake instagram? Vipi ndoa ya mdogo wake Rachel ilifanikiwa baada ya Mange kubumbulisha yule baba ni mme wa mtu?
Kwa ujumla ana roho mbaya SanaTatizo la Mange ni chuki na wivu. Habari zake nyingi ni ya visasi. Mange anapenda maisha mazuri kwa sasa yupo hoi basi ni kasheshe.
Zamani nilikuwa namkubali Lkn nilivyokuja kujua weakness zake, nilimpotezea.
Muongo sana
Mange ndiyo alianza kumchokonoa Zari Enzi zile ana blog ya U turn.Hapana hajawahi msema mtu bila kumchomoza ,hata huyo Zari ndo alimuanza Mange kupitia maadui wa Mange